正在加载视频...

视频加载失败

48,328 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Kenny Afisa 的头像
Kenny Afisa1 年前

Kwnn yeye mara zote hutoa matamko au kuongea baada ya kusemwa na kushinikizwa? Huyu jamaa ht ukimtazama mdomoni na machoni utagundua ni tapeli la CCM.

ELIZABETH MAMBOSHO 的头像
ELIZABETH MAMBOSHO1 年前

Anapepesa pepesa macho yanini?? Anashindwa kuikemea serikali itende Haki,, Watu kama hawa Neno la Mungu linasema ATAWATAPIKA.

Mnada Nchege 的头像
Mnada Nchege1 年前

Japo mzito sana kutamka neno HAKI ila tumuombeeni huenda akabadilika tabia yake Yani viongozi wengi wa dini wamewahi kukemea mapema. Yeye alikuwa anasikilizia upepo wa serikali kama isingekemea angekaa kimya kwakuwa imekemea nae kajitokeza

Just Talk Jr 的头像
Just Talk Jr1 年前

Anajitahidi sana kupanga maneno ili asiiudhi serikali. 🚮🚮

@Amujisiokum 的头像
@Amujisiokum1 年前

Nachojua, haki kuna siku itashinda. Patakucha soon

Ant-Corruption,Technonology for mult beneficiary 的头像
Ant-Corruption,Technonology for mult beneficiary1 年前

Nilishwa haku kusema Mbowe na zitto ni masnichi toka 2021 sijawahi kibadilika bas piah niseme HAPA HAKUNA MCHUNGAJI NI TAPELI TU na siwezi kubadilisha uamuzi wangu NOTE: mwaka huu Samia hawezi kuwa Rais. Hili ni andiko by any means HALALI lazima Litimie. Shida watu hawaamini

Amani Erick 的头像
Amani Erick1 年前

Tamko lakimchongo yeye na Askofu kesho mshahara niwatu wa mfumo walifanya figisu bagonza asiwe mkuu wa K K K T wakamtupia mashambani huko Tabora Jacob Kisiri hawa Wana tabia za ki sisiemu Hadi kwenye kanisa

..........🇮🇱🎤 的头像
..........🇮🇱🎤1 年前

.

Mzee wa Bayern 的头像
Mzee wa Bayern1 年前

Mnafiki Hana lolote sura imejaa asichokiamini kkt mlipotea njia kwa hili bumunda hafai kua mbele

Sengo 的头像
Sengo1 年前

@ApolinaryFrank Ujumbe ni kua wasitufunge midomo.

相关视频