Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
IRINGA mpooooo ??
34,629 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

CCM mnajisikiaje vile wananchi tunaenda wenyewe kwenye mikutano ya chadema bila kusombwa na malori. Wananchi tumeshafanya maamuzi tunataka chama kingine kishike dola

Nilipozaliwa hawajawahi ogopa mabadiliko. Hapa alipigwa mjerumani akaenda jiuliza. hawajawahi nyenyekea watawala wanapaita IRINGA Mimi napaita nyumbani

- All I Knew

Pastor kinyambe kaitwa kwenye mkutano..sijiii

Kwa nyomi hili lazima mama Yao achanganyikiwe na no reforms no election

Kuweni makini wanaweza kutangaza wagombea wa chadema kibabe yaani mamluki wataweza andaliwa na fomu zao kugushiwa ktk nafasi ya urais, wabunge na madiwani ili kuififisha no reform no election

Tupoooo

@MsigwaPeter umeona kaka?

Tupooooooo

@MsigwaPeter sijui kama atakua ameiona hii. Mzee wa "happen now" aliekabidhiwa Kanda. Ila ccm nao wamechoka kweli. Ila sio mbaya wakampa nae mkate akuze mradi wake wa mayai

No reforms no election
