正在加载视频...
视频加载失败
Msi-deal na mimi...
12 条评论

Sikiliza hizi Voice notes za mazungumzo ya simu kati ya Martha na Joan.. Then uniambie nani Kazirecord 😅😅 Video kwa Comments 👇

Aliyerekod kajipanga ndo maana anaongea Kwa utuliv mtegooo

Elite dropshippers use Minea to predictably launch winning stores. For a limited time, you can now try Minea for free 🔥🔥🔥

Aaliyerokodi ni martha lakin uyo Beatrice ana matatizo

Beatrice , mbona Kama ni Malaya sana .. matha yeye amepoa Ila ka bite kanabwambwaruka kisenge , utadhani kanaongea na ex wake 😅

Huyo Demu anapayuka na hana Utulivu,Bado hana Hoja za Msingi za kumlaumu Martha 🚮

Kwa hayo mazungumzo mafupi huyo Beatrice anaonekana ni tatizo. Hata kuishi na mwanaume huyo hataweza. Martha ana hekima sana,👍🏽👍🏽👍🏽

Hii kurekod matha ndio maana amejifanya anahekima

Bite anamsungo wa Mawazo hana utulivu

Wabongo mna mambo ya hovyo yn kwasababu mtu amepanick mwngne amerelax bac aliepanick ana matatizo?hehehehe msijifanye hamjawah kujikuta katika situation km hzo

Martha

Alierekodi ni nan ? Km ni martha bas kapay victim ila kwa macho tuu kale kajoan ni kamalaya af kajanja janja

