
Remija Aziz Ki 🐪
@1960Remija • 89,905 subscribers
GOD | Faith | Family | Ligi Kuu | Zilipendwa | Mwenyekiti | Yanga | Man U | Real Madrid | Kaizer Chiefs | Sebene & Rhumba | Tour Agent | Tweets Are My Opinions.
Shorts
Videos

Miaka ya bakuli 2018 mpaka 2020 tulikua tunabeba wachezaji wa mafungu sokoni. Tulipitia ukata ambao hata Lipuli waliweza kutuvimbia sokoni. MASHABIKI tulisimama na timu na tulifanikiwa kumaliza ligi nafasi ya 2 mara zote na hatukuwahi kufungwa na Mtani mfululizo.Wenzetu kulikoni?
Remija Aziz Ki 🐪49,120 views • 1 month ago

Kama wewe ni shabiki wa YANGA tafadhali RT halafu usiseme chochote. 🐐 📌
Remija Aziz Ki 🐪156,620 views • 1 year ago

Mlinitukana niliposema Msimbazi kunawaka moto, vikao havijasaidia kupata suluhu na sasa wameanza kupeana matusi mazito hadharani. Huyu jamaa anajikutaga ni James Bond wa mpira wa Tanzania. Shida sio kanuni wala meneja. Watu wanaogopa kikosi cha Yanga. Nimelia mimi leo. 😂🥹🥲
Remija Aziz Ki 🐪40,151 views • 1 year ago

Karia asipopata sukari leo basi atakuwa na roho ngumu sana. Kula chuma hiko.
Remija Aziz Ki 🐪39,405 views • 1 year ago

Mashabiki na wanachama wa Yanga kuna ujumbe wa Karia kutoka Bungeni. TFF TANZANIA & Ligi Kuu mmetufikisha sehemu Watanzania wanahoji hizo taasisi ni mali zenu binafsi? Bunge linamjadili Rais wa Shirikisho aliyeshindwa kuzuia mahaba yake na kuharibu mpira kwa makusudi. Shame. 🤝
Remija P Shalulile 🙌🏽34,005 views • 1 year ago

Mechi ya Simba v Al Masry ilituvua nguo mahala pakubwa sana, Lupaso iligeuka shamba la mpunga, mbona CAF waliruhusu mechi ya Yanga v USM Algier ichezwe na mvua zilinyesha wiki nzima? Nguvu kubwa tunayotumia kulalamika tungeitumia kuwaambia ukweli wenye mamlaka pale tulipokosea.
Remija Aziz Ki 🐪23,943 views • 1 year ago

