DJIGUI DIARRA 🐐's banner
DJIGUI DIARRA 🐐's profile picture

DJIGUI DIARRA 🐐

@1960Remija89,657 subscribers

GOD | Faith | Family | Ligi Kuu | Zilipendwa | Mwenyekiti | Yanga | Man U | Real Madrid | Kaizer Chiefs | Sebene & Rhumba | Tour Agent | Tweets Are My Opinions.

Shorts

Mpaka waseme “hapa Mpanzu, pale Kibu, huku Ahoua” waliwaficha wapi siku ya mechi. Masimango mpaka NBC inaisha. 😂

31,373 views

Timu inaandika barua saa 8 usiku kusema haichezi DERBY kisa haijafanya mazoez ya dakika 30 na unaridhia kabisa? Mwanzo hukutaka busara, ulipindisha kanuni. Haishangazi kuona marefa wa mechi zao wamevurunda kupitiliza, inafikirisha! Timu inajipangia ratiba, yanawezekana Tz tuu. 🙌🏼

28,182 views

Mtazunguka sana, mtatumia kila aina ya maneno kuidogodosha Yanga lakini ukweli wa NAMBA kwa timu za Tanzania utabaki pale JUU. Hakuna timu bora kwa sasa kama YANGA SC kwa Tanzania. 📌

17,157 views

Haiwezekani hata kidogo refa anavurunda vibaya mechi ya Namungo v Simba halafu unampa tena JKT v Simba. Refa anaharibu Simba v Mashujaa halafu unampa v KMC. Kwanini marefa wanaovurunda wanapewa tena mechi Simba? Naunga mkono klabu 6 kujitoa kwenye NBC. Jana NBC imevuliwa nguo. 💔

14,924 views

Wananchi Karia kaamua kutuharibia na amedhamiria na kuapa kufa na Yanga. Huyu ndio Mhandishi anaetumika na TFF kwa sasa kuichafua Yanga. Naomba RT 200 tuu kuwafikishia ujumbe Yanga waliopo vijijini. Tafadhali RT 📌

15,405 views

Videos