
DJIGUI DIARRA 🐐
@1960Remija • 89,657 subscribers
GOD | Faith | Family | Ligi Kuu | Zilipendwa | Mwenyekiti | Yanga | Man U | Real Madrid | Kaizer Chiefs | Sebene & Rhumba | Tour Agent | Tweets Are My Opinions.
Shorts
Videos

Kama wewe ni shabiki wa YANGA tafadhali RT halafu usiseme chochote. 🐐 📌
DJIGUI DIARRA 🐐148,441 просмотров • 1 год назад

Tumetuma na ya kutolea lakini hajaja, tumemfuata kwake. 😂🙌🏼
DJIGUI DIARRA 🐐50,198 просмотров • 1 год назад

Mlinitukana niliposema Msimbazi kunawaka moto, vikao havijasaidia kupata suluhu na sasa wameanza kupeana matusi mazito hadharani. Huyu jamaa anajikutaga ni James Bond wa mpira wa Tanzania. Shida sio kanuni wala meneja. Watu wanaogopa kikosi cha Yanga. Nimelia mimi leo. 😂🥹🥲
DJIGUI DIARRA 🐐40,066 просмотров • 11 месяцев назад

Karia asipopata sukari leo basi atakuwa na roho ngumu sana. Kula chuma hiko.
Vladimir Vladimirovich Putin39,352 просмотров • 1 год назад

Mashabiki na wanachama wa Yanga kuna ujumbe wa Karia kutoka Bungeni. TFF TANZANIA & Ligi Kuu mmetufikisha sehemu Watanzania wanahoji hizo taasisi ni mali zenu binafsi? Bunge linamjadili Rais wa Shirikisho aliyeshindwa kuzuia mahaba yake na kuharibu mpira kwa makusudi. Shame. 🤝
DJIGUI DIARRA 🐐33,968 просмотров • 1 год назад

Rais wa shirikisho wa mpira anawaambia Yanga “sitawapa pesa za ushindi kwanza ili tuangalie mtafanya nini kwenye msimu unaokuja” manina TFF. Bado mnasema huyu mzee anafaa kuendesha mpira wa Tanzania!? Alaaniwe Karia popote alipo. This is too much, mtasema wanamsingizia? 🥹🙌🏼😳
Vladimir Vladimirovich Putin22,948 просмотров • 11 месяцев назад

Mechi ya Simba v Al Masry ilituvua nguo mahala pakubwa sana, Lupaso iligeuka shamba la mpunga, mbona CAF waliruhusu mechi ya Yanga v USM Algier ichezwe na mvua zilinyesha wiki nzima? Nguvu kubwa tunayotumia kulalamika tungeitumia kuwaambia ukweli wenye mamlaka pale tulipokosea.
DJIGUI DIARRA 🐐23,937 просмотров • 1 год назад

Imagine haya matukio yangefanywa na Yanga. Mungu ana sababu za msingi kwa haya kutokea. Zanzibar walipigwa na kuchaniwa nguo mashabiki wa Yanga, refa wa fainali alifanyiwa fujo, Motsepe alizomewa. Jana kapigwa mawe mchezaji. Timu kipenzi ya Karia, Kidao, Jemedari & Shaffih. Eh 🙌🏼
DJIGUI DIARRA 🐐16,983 просмотров • 1 год назад

