
Adv. Dickson Matata
@AdvMatata • 26,070 subscribers
advocate/ lawyer
Videos

Kaka Hando anafaa sana kufundisha somo la kukabia kwa juu mpirani.
Adv. Dickson Matata16,787 просмотров • 4 месяцев назад

Moja ya hoja ambayo Bunge la Marekani limeweka kwenye "bill" kabla ya kuwa sheria dhidi ya Tanzania, ni pamoja na hoja kuwa Serikali ya Tanzania inaminya uhuru wa kuabudu (dini). Jana wabunge waliojipitisha bila uchaguzi wanasema hakuna uhuru wa kuabudu unaominywa nchini. Swali; hivi kanisa la Gwajima (Ufufuo na uzima) lilifungiwa kwa kosa gani?
Adv. Dickson Matata16,143 просмотров • 4 месяцев назад

Viongozi wengi TZ ukiwakuta ofisini au wakiwa kwenye ma-V8 kabla hawajaanza kuongea au kujibu hoja za wananchi, utasema viongozi si ndio hawa sasa, ila wakianza kuongea au kujibu hoja ndio unagundua ulikosea ulivyofikiri mwanzo. Haina tofauti na huyu jamaa hapa.
Adv. Dickson Matata12,464 просмотров • 5 месяцев назад
0:34
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

DJ ongeza Sauti!! Sio kupewa uhaini wanatakiwa kuuliwa na kutupwa mtoni.
Adv. Dickson Matata17,977 просмотров • 1 год назад
Больше нет контента для загрузки