
Kingpin of Kenya
@ClintonObonyo • 28,666 subscribers
Am the guy your mum warned you about// The youngest incharge 🧑✈️/ Arsenal supporter since birth
Shorts
Videos
1:52
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Kenya is not for beginners! A matatu driver and his assistant wamejaa ngori and driven tehir Abirias to the GSU Headquarters Thika Rd after they refused to pay fare. Abiria says assistant driver alisema gari ni 80 wakiingia, then changed it to 100 bob while enroute. They have refused to pay the 100, they have refused to climb down at the GSU HQs, ati warudishwe tao bas mahali waliwatoa wachukue gari ya 80. The hard-eyed and hard-headed Abiria wamesema ati sio hao waliambia watu wa matatu waingizwe boks na serikali warudi kwa barabara. Imebidi tu Kondakta akubali hiyo 80. Awuoro!
Kingpin of Kenya89,626 görüntüleme • 6 gün önce

Bad day in office for Mikora! A veteran son of Barnabas has today met his 41st day in line of duty of multiplying his wealth with people's things and assets without permission. The mikora had turned his vest into a ohuru bag sweeping lotions from the shelves like he's a Nivea Ambassador with a birth right to expressly collect their products without pay. Leo okota okota zake za sakafuni zimeishia kwenye mikono ya supermarket afande and muhindi. Huyu aliamka asubuhi akatoka kwa nyumba yake kwenda kuiba tu lotion. Awuoro!
Kingpin of Kenya1,327,139 görüntüleme • 3 ay önce

huyu alienda kuiba bila kujua shamba ni ya nani, huko nyoka ndio mutina
Kingpin of Kenya195,636 görüntüleme • 1 ay önce
0:40
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

huyu dem amekanyaga huyu boy vibaya sana... sai amevunjika miguu zote
Kingpin of Kenya144,398 görüntüleme • 28 gün önce

Kenya is not for beginners! Pale Embu mambo Yanachemka! Tenri School young Sons of Adam and daughters of Eve wameamua kutuingiza kwa Siasa yao. Its Gen Z vs Gen Alpha! I'm vested and following their politics the way singuls follow pretty Abebos in their diems with Hi Hi. Allan even has his own mini mbavu goon and Men in black but the daughters of Eve led by Nevina and Sally are uniting to stop his dream. Gen Alpha pia wanasema kiti ya Depee na crucial CS ni yao cz they are the majority for anyone who want a coalition ama wasimamishe Rais wao and show the senior school legends kivumbi bin kivumbi. Mimi bora siku ya kura wafungue portal sisi watu wa online tupigie Team Alo Alo kura. Those mini-Martha Karuas need to be stopped. Ni Mbayaa. Awuoro!
Kingpin of Kenya62,473 görüntüleme • 14 gün önce

Pale Pwani mambo Yamechemka! A daughter of Jezebel went on a hearing good staycation pale Pwani but instead of hearing good anachemshwa na joto akifunzwa na ulimwengu. The room she was given anasema ata heri angelala shimo la tewa ka mfungwa, the fun is is not funning, the blanket ati ni ile Vasco da Gama alijifunika nayo 1802 and the ambience can't make her ripe for the legend who is just silently watching his investment evaporate shirtless as the drama unfolds. The legend and Abebo's hands are brief but she wants Santorini experience. She's accusing mathe of being a kiwi-hearted witch who is jilas of her hearing good escapades. Huyu haogopi ata mathe anaweza mpeleka chini ya bahari usiku akachunge ng'ombe huko mpaka next year. Awuoro!
Kingpin of Kenya81,124 görüntüleme • 20 gün önce
1:05
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Marriage is not easy! Professor ametumia degrees wake kuchukua abebo....Marriage is not for the weak and faint-hearted! Our Abebo has decided to Sipik! Amesema she has the right to defend herself with evidence kwa Kalatas. The man she matched kitenges with during the day was an alleged night runner with weird behaviors at night. Ati the legend would climb Ngalambewa of the door like a spider or gecko in the middle of the night and pour extremely cold water on Abebo in bed while calling her tumbili. Kamami says heri alilie kwa ndege ya kwenda Juba au Seatle kuliko kuishi na karumanzira who turned her night life into jahanam duniyani. Ata wahenga hawaamini macho yao. Awuoro!
Kingpin of Kenya272,673 görüntüleme • 2 ay önce

Bad day in office for Kanjo afande! A son of Adam leo amepatana na Artur brothers pale kazini. The afande wants to clamp the Armenians brothers guzzler ju allegedly they have refused to oil his hands and give him something for the eyes but the wazungus are not having it. Mwingine ameshika afande shingo, mwingine amechukua kifungu to remove hiyo makifuli yake. Its afande who has been clamped instead. Hii duniya sai nikama kila mtu amechoka, hakuna mtu normal. Awuoro!
Kingpin of Kenya314,041 görüntüleme • 3 ay önce