
Cute Maria
@CuteMaria26 • 1,519 subscribers
NO JUSTICE NO PEACE ✌️🇹🇿. Human Rights Advocate ✊🏽🇹🇿 l Stand for Justice. I Defend & Protect Human Rights. I stand for the right ✊🏽
Shorts
Videos

Ndugu Wananchi Amkeni huu ndio mpango mikakati wa Wazanzibar na MACCM. Ndicho wanachowaza huyu jamaa ASIPUUZWE ndie alisema Nchimbi afukuzwe na alimchongea sana Nchimbi alitangaza vita na ya kumtoa Nchimbi Hapo Hapo Bungeni , Sasa ukiona anaongea hivi Ni kweli katumwa. AMKENI Tanganyika 💪
Cute Maria79,134 Aufrufe • vor 11 Tagen

Mgongano ulikua Ni mkubwa mnoo🙌 haya Nani yupo sahihi hpa? ila Samia Bora tu ujiuzuru kwa kweli , lol!
Cute Maria115,884 Aufrufe • vor 21 Tagen

Hon. Emmanuel Nchimbi. Imagine mtu Kama huyu ambaye alikua anaongea face to face na baba wa TAIFA Julius Nyerere Leo hii anafutwa CCM wanaleta Watu hata wasiokijua Chama na kumtoa mkongwe akijuae chama. Bado heshma yako itakuwepo Dr Nchimbi. Free Mh Emmanuel Nchimbi 💪
Cute Maria72,946 Aufrufe • vor 15 Tagen

Dada wa Taifa Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 as usual husema ukweli kwa kimama na Team yake but kimama Ni kiburi tu.
Cute Maria16,930 Aufrufe • vor 11 Tagen

Memory , Mh Jaji Joseph Sinde Warioba Hapo zamani Za kale. Aliwahi kuapiswa kwa nyazifa mbili.
Cute Maria17,125 Aufrufe • vor 13 Tagen

TANZANIA 🇹🇿; „Alifariki baada ya KUTANGAZA Vita ya Madawa ya Kulevya.“ Leo tujikumbushe kitu. Miaka iliyopita alikuwepo mtu jasiri aliitwa Amina Chifupa ambaye alipata nafasi ya Kua Mbunge akiwa bado mdada mdogo. Alipokua Bungeni alianzisha Vita yaMadawa ya kulevya na aliugua ghafra baada ya kutangaza na siku chache akafariki. Je unadjani Ni kwa Nini? Je aligusa SEHEMU nyeti Za wakubwa wake huko serikalini? Au la?
Cute Maria14,103 Aufrufe • vor 11 Tagen
Keine weiteren Inhalte verfügbar