
Eddo
@Eddo142 • 173,399 subscribers
#Justsmile / once i was a superstar😎/ King of Toronto Tabora 1800's
Videos

BONGO NYOSO 😂 Sema mpira wa bongo propaganda nyingi sana, na nyingine hata hazina maana kabsa..!!! Kibaya zaidi wanapewa watu ambao hata kuongea hawawez 😂 Jamaa anachanganya kauli, angekuwa wa Simba hawezi kutumia hizo kauli ⤵️ Sikiliza mwenyewe hiyo video then utaelewa 🤣 👉"WAMEFUNGA SIMBA" _ angesema tumefunga Simba 👉goal la Moses Phiri ni offside na "HAWASEMI" - 👉 kwakuwa SIMBA WAMEAMUA KUSHINDA MUSIMU HUU 👉 WAMEBEBWA Kwann siyo TUMEBEBWA...!??
Eddo29,472 Aufrufe • vor 2 Jahren
Keine weiteren Inhalte verfügbar