
Eng.Mapunda Jr
@EngMapundajr • 11,489 subscribers
Husband|A father||Chelsea FC|Yanga SC|Moshi Tech Alumn| DIT Alumn|Electrical Engineer|Busses&Trucks Enthuastic|Mvuvi 😊|Retired Alcohol Master 🥃🍾🍺🍻🍹🥂 🇹🇿
Shorts
Videos

Saivi hata ukifa suala la Kupumzika kwa Amani Halipo Kmmke..😅💔🙆🏿♂️
Eng.Mapunda Jr58,650 görüntüleme • 2 ay önce

Kuna Kwaya , halafu kuna Kwaya ya Mtakatifu Kizito Makuburi ..🔥🔥🙌🏿
Eng.Mapunda Jr51,497 görüntüleme • 3 ay önce

Kama gari yako ni AWD usifanye Towing kitakuramba...🥹🥹 Huyu mwenye hii Subaru sijui kama alipona aiseee 🙆🏿♂️🙆🏿♂️
Eng.Mapunda Jr246,452 görüntüleme • 1 yıl önce

Huu Mshangazi wa nani tena..,Ila una Madini Usipuuzwe aisee ..😂😅🙌🏿
Eng.Mapunda Jr33,299 görüntüleme • 2 ay önce

Unaeza ukadhani ni Kontenti Kumbe mtu anateseka Ukweli Kmmke..😂😅🙌🏿
Eng.Mapunda Jr23,800 görüntüleme • 1 ay önce

Hili ndo Shambulio la Aibu Sasa.,Hapa unaeza sahau hata ulikopark gari ukajikuta unarudi home kwa Bolt 🤣🤣🤣
Eng.Mapunda Jr112,399 görüntüleme • 1 yıl önce

Wakuu huyu ni Wajeshi la Nchi gani tena.,Kipa yupo kweli Golini hapa au kaenda kushambulia.??
Eng.Mapunda Jr80,561 görüntüleme • 1 yıl önce

Ila Wezi ni Waharibifu Kmmk.,Ona walicho Ifanya hii Harrier Anaconda,Chuma haina hata mwezi Road Mzee...,Wamepita na Taa za mbele na Show zake ,Side Mirrors Taa za nyuma na Bampa lake Wamesepa mpaka na Power Window..,Yaani Kuirudisha Hii Chuma Road unavuta IST .🥹🙆🏿♂️💔
Eng.Mapunda Jr44,806 görüntüleme • 9 ay önce
Daha fazla içerik yok.