
Farhan Kihamu Jr
@FKihamu • 542,466 subscribers
VISIT MOROGORO 🇹🇿 | MKULIMA | Signed under Clouds Media Group | Fa Inna Ma’al Usri Yusra Inna Ma’al Usri Yusra |
Shorts
Videos

Kwa Mama yao wamezaliwa Watoto 10 hawa, huyu Kaka yake ni Mzaliwa wa pili na Mheshimiwa Lissu ni Mzaliwa wa saba katika uzao ule, Kaka yake anacheza kwenye miaka 70 hivi sasa na hapo ni Mahakama Kuu ambapo Mdogo wake anapambana na Jamhuri kuhusu kesi ya Uhaini, baada ya malumbano ya Kisheria Jamhuri, CHADEMA na Mahakama ikawaachia muda Mtu na Mdogo wake waongee, Kaka sijui anamwambia nini Mdogo wake, Mdogo wake anamsikiliza kwa umakini sana Kaka yake. Nimeona video nyingi na posts nyingi za Lissu ila hii na Kaka yake kifamilia imenigusa sana, sio rahisi kwa Kaka yake kusimama hivyo na Mdogo wake, kumbuka wameshazika Baba na Mama hawa, kumbuka katika Uzao wa Watoto 10 wamezika tayari wanne na wamebaki sita tu, Tundu anapambana kwenye mstari sio kitu rahisi kwa Kaka yake, nimeipenda sana hii video. Kifamilia familia Tundu anawapitisha Wakubwa zake katika nyakati ngumu sana ila ndio njia aliyochagua kupita na wao hawana namna kwakuwa ndio njia ‘Dogo Janja’ amechagua kupita, hawana namna ni Ndugu yao na ni mdogo wao, kwa ambao sisi ni wakina Kaka tunaelewa Wadogo zetu wakiwa na misala namna tunaumia😀 🎥 GlobalNetTVChannel
Farhan Kihamu Jr82,988 Aufrufe • vor 7 Monaten

Ila Binti wa Mzee Wassira🙌 Ndie Msanii bora wa Kike wa muda wote kwa Taifa hili.
Farhan Kihamu Jr65,247 Aufrufe • vor 1 Jahr

Niazime dakika zako mbili tu kumsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Ndugu Antony Mtaka akielezea kitu.
Farhan Kihamu Jr27,184 Aufrufe • vor 5 Monaten

🚨YANGA TAYARI WAMEWASILI UWANJANI, ILA HAKUNA MASHABIKI WAMESHATOLEWA.
Farhan Kihamu Jr53,277 Aufrufe • vor 1 Jahr

Mapema leo nyumbani kwa Balozi wa Vatican nchini Tanzania, Baba Askofu Mkuu Angelo.
Farhan Kihamu Jr48,778 Aufrufe • vor 1 Jahr

Huyu ndie Boss wa Bodi ya Ligi, Mwenyekiti Steven Mnguto ambaye pia ndie Mwenyekiti wa Kamati ya Masaa 72 hapa anathibitisha mbele ya Mwananchi Digital kuwa wameshawajibu Yanga barua yao, Yes majibu waliwapa Yanga tangu MACHI 16, saa nne asubuhi. NB| Yule Brother aliyepost shit jana sijui alinishauri, sijui nini, wewe nimekusamehe! Wewe ni Mtoto umekunya kwenye kiganja changu, siwezi kukata mkono wangu, nitanawa tu.
Farhan Kihamu Jr35,770 Aufrufe • vor 1 Jahr

MY BEAUTIFUL SISTERS AND DEAR BROTHERS, itazameni vyema sana hii video! Tazama namna Chama alivyotoa pass ya kwanza kwa Rally Bwalya ‘The Left Footed Magician’ hii ni one two by default, ila tazama namna Bwalya alivyouweka mpira kwenye eneo tulivu kutoka kwenye press ya Platnumz, umetolewa mpira from high concentration to Low hizi sisi watu wa PCB tunaziita DIFFUSION PASSES hata kwa Watalaam wa Quantam Physics wanakubaliana nami. Brain ya BWALYA na uwezo wa CHAMA, wengi husema Chama ni mzito hakimbii ila Maestro anatembea sana kwenye AREA 14 ama GOLDEN SQUARE hapa nitakuja kuwapa elimu yake siku nyingine, ndie Mchezaji mwenye utulivu zaidi na kasi zaidi Kusini mwa Jangwa la Sahara eneo hilo, sprinting with brain and accuracy! Tazama tena baada ya kupokea pass kutoka kwa RB, pass ilinyooshwa mithili ya Dobi wa Ikulu akiandaa nguo za Mama Samia kwa ajili ya vikao! Halafu ona namna Chama alivyotoka pembeni na kulisaka box, kakimbia sana halafu akapause, ikatumika akili nyingi sana kupitia NEWTON’S LAW OF MOTION haikuwa instant stop ila gradual, kisha akaanza Ukarani wake wa Sensa ya Watu na Makazi mmoja mmoja. Okay! Tazama tena hapo kwenye video baada ya kuingia kwenye box alimuona John Bocco on space ila aliniambia MANAGER hapo bado nilikuwa nina uwezo wa kuwachukua tu, jukwaa linakaanga chips huko! @baraka_mpenja anataka kufa kwa kwikwi huko, Matajiri jukwaani wanataka kuruka wafie pale chini, halafu Chama kwenye dunia yake ambayo hakuna Mchezaji Kusini mwa Jangwa la Sahara au Tanganyika ipate uhuru alikuwa na utulivu huu. Tazama namna gani Simba ilikuwa na PROFESSIONALS wa kutisha! Nyuma yake RALLY BWALYA anakuja kukaa on space nje ya box kidogo for second balls kwakuwa ni Mnyama! Halafu LUIS MIQUISSONE alikuwa chini kabisa mtazame alivyoingia kwa kasi ya kufa Mtu, alikuwa anaenda kuisaka ile space ndani ya box kama Plan B! Itazame hapo Simba yani Chama ana mpira halafu PLAN A ni Bocco, Plan B ni Miquissone na PLAN C ni Bwalya! Bado TRIPLE C ana plan mpaka Z, hii ndio penati bora zaidi kuwahi kushuhudiwa kwa miaka ya hivi karibuni duniani, tafuta clip zote za penati halafu jivue mahaba halafu utagundua kitu. QUALITY WANANGU QUALITY MENEJA. 🎥 Azam TV
Farhan Kihamu Jr68,599 Aufrufe • vor 3 Jahren

Mwanetu yupo bhna 🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 anafuatilia usajili wa Arsenal ndio kombe lao😀
Farhan Kihamu Jr20,926 Aufrufe • vor 1 Jahr
