
Historia Yetu
@HistoriaYetu • 37,821 subscribers
Ukurasa kuhusu historia ya Tanzania. Kabla na baada ya uhuru. Tundikie 📧- [email protected]
Videos

1975, Maelfu ya Wakimbizi raia wa Kenya warejea kwao baada ya Tanzania kupitisha sheria ya utaifishaji. Mali zao zote zilizuiwa Tanzania, na Kufika kwao Kenya nako ikawa hawana kitu, serikali yao ikawakati vipande vya ardhi maeneo ya Lake Kenyatta na Lamu. #KenyaVsTanzania
Historia Yetu113,778 views • 2 years ago
No more content to load