
Marcus
@InexorablesoG • 5,294 subscribers
Jesus is God
Videos

Kambi ya jeshi la Lugalo nako wamekomba heka 20. Mpaka kambi ya jeshi 🤔🤔🤔🤔
Marcus67,135 views • 1 month ago

Kumbukizi; Video hii nilirekodi kabla ya tarehe 29 October mwaka jana nikimpa Samia muuaji ushauri. Na dada wa Taifa Mange akaipost kwenye IG account yake. Na sasa Tunakabiliwa na tarehe 29 October nyingine. Huu ushauri bado unaishi. Samia aachie ngazi, otherwise KUNAKUJA MAANDAMANO MAKUBWA YA KUMSHINIKIZA AACHIE NCHI YETU YEYE NA GENGE LAKE. 29 OCTOBER is INEVITABLE.
Marcus11,240 views • 1 month ago

Huyu mama ni nani? Yaani amemchapa dikteta Samia na genge lake la wauaji usoni mchana kweupe.
Marcus41,639 views • 8 months ago

Pascal Mayala, anachapa utosini kwa waandishi kanjanja wanaolishwa na Gerson Msigwa
Marcus16,610 views • 5 months ago

Askofu Bagonza hajapiga kwa mshono yaani yeye KAPIGA kwenye kidonda chenyewe. Dikteta Samia hawezi kuwa na amani ndio maana ziara zake ni chooni, kambi za jeshi na sasa kaongeza Zanzibar. Tanganyika kwake hakugusiki. Mwigulu nae ni roporopo, hata haelewi anachosema.
Child of God25,697 views • 9 months ago