
Marcus
@InexorablesoG • 4,786 subscribers
Jesus is God
Videos

Pascal Mayala, anachapa utosini kwa waandishi kanjanja wanaolishwa na Gerson Msigwa
Marcus16,278 görüntüleme • 15 gün önce

Huyu mama ni nani? Yaani amemchapa dikteta Samia na genge lake la wauaji usoni mchana kweupe.
Marcus41,597 görüntüleme • 3 ay önce

Askofu Bagonza hajapiga kwa mshono yaani yeye KAPIGA kwenye kidonda chenyewe. Dikteta Samia hawezi kuwa na amani ndio maana ziara zake ni chooni, kambi za jeshi na sasa kaongeza Zanzibar. Tanganyika kwake hakugusiki. Mwigulu nae ni roporopo, hata haelewi anachosema.
Child of God25,697 görüntüleme • 5 ay önce

Father, Dr. Kitima hapoi wala haboi. Afu humu kama kamchapa Nape humu. 😅
Marcus12,107 görüntüleme • 2 ay önce

Mungu aendelee kumtunza Lissu. Ila na Watanzania tuinuke tupambanie nchi yetu.
Marcus11,723 görüntüleme • 2 ay önce