
James Mbowe
@JamesMbowe4 • 44,849 subscribers
Videos

Nimemsikiliza Mbunge wa Hai, (viti maalum) video aliyojirekodi akitoa tuhuma mbalimbali kumuhusu Mh Freeman Mbowe amezungumza Mengi katika hali ya kuutweza Utu wa Mh Freeman Mbowe akitoa tuhuma kadhaa kwenye video yake akiwa Dodoma . 1. Anasema Mh Mbowe ametangaza vita hali ya hatari akiwa Narumu Lakini hajasema ilikuwa tarehe ngapi. Na hiyo vita inaanza lini na akasahau mtu pekee kwa mujibu wa Katiba ya Nchi anayeweza kutangaza hali ya Hatari ni Rais pekee. Hii inaonyesha jinsi huyu bwana mdogo alivyo kishoia 2 Amesema Mbowe ametoka magereza akajenga ghorofa. 3 Anasema Mbowe hajawahi kutafuta hela, hela alizonazo alirithi kutoka kwa Baba yake yaani Mzee Aikaeli. 4 Amesema Mbowe ni tapeli wa kisiasa kwamba amewatapeli watu wa Hai kwa muda mrefu 5 Amesema Mbowe alikuwa anashawishi watu kwa pombe ya kiroba, Gongo sasa hivi amebadili mbinu anatumia Sukari kuwarubuni watu. 6 Hapa akaenda mbali zaidi na kusema historia ya Mzee Aikaeli na mwanae Freeman Mbowe ni watu wa Damu za watu hii ni tuhuma nzito sana 7 Akasema Mbowe amewatumia watu wa Hai kama condom na kis hha kuwatupa 8 Anasema Hata Mke wa Mbowe hataki kukaa naye 9 Akasema siku Mbowe akimchokoza atasema yote. Ushauri wangu kwa Mh Freeman Mbowe tuhuma hizi alizotoa huyu dogo ni nzito sana, Nashauri haraka iwezekanavyo jambo hili lipelekwe mahakamani ili huyu dogo akathibitishie mahakama juu ya haya aliyoyasema. Katika historia ya Hai hatujawahi kuwa na Mbunge kilaza kama huyu dogo, Mh Rais @samia_suluhu_hassan Mh Katibu Mkuu wa CCM Emmanuel Nchimbi matokeo ya kuuwa mfumo wa Demokrasia wa kupata viongozi wanaotokana na kura za wananchi ndio tunapata sampuli hizi za viongozi ambao hawastahili Hata kuongoza kundi la mbuzi. Huyu dogo ameingia Madarakani kwa gharama za watu wa Hai kupigiliwa misumari miguuni, kukatwa Masikio, kuingizia watu chupa sehemu zao za siri, kupiga watu shoti, kukata watu ndevu kwa sime asifikiri tumesahau. Hiki kiburi Najua umekipata zaidi baada ya kuona Nia ovu ya kuharibu Uchaguzi wa Serikali za mitaa kwa kuengua wagombea wetu pasipo na sababu ukaona sasa unaweza kufungua mdomo wako na kuutweza Utu wa Freeman Mbowe hapana sitakubali Ujinga huu kwa gharama yoyote ile.
James Mbowe46,725 views • 1 year ago

Anaandika askofu dickson! DAMU YA MTU SI DAMU YA KUKU, DAMU YA MTU HAIPOTEI, KWA MAMLAKA NILIYOPEWA NA MUNGU KATIKA NCHI HII NAAMURU KILA ALIYEMWAGA DAMU YA MZEE KIBAO AANZE KUFA TARATIBU NA KWA MAUMIVU MAKALI KULIKO ALIYOKUFA NAYO BABA HUYU, ARDHI ILIYOPOKEA DAMU NA UHAI WAKE IWAPOKEE NINYI NA WAZAO WENU MSIPOTUBU NA KUGEUKA JUMLA KWA MACHOZI NA KWA UWAZI, MLIE NA KILIO CHENU KISIPOKELEWE NA MWANADAMU YEYOTE WALA MUNGU, NAAMURU KWA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU JUU YA MAISHA YANGU MUANZE KUUANA NA KUTEKANA NINYI KWA NINYI KUANZIA LEO, UPANGA WENU UWALE NINYI KWA JINA LA YESU, IKIWA JAMBO HILI LINA MKONO WA MAMLAKA YOYOTE, MUDA WAKE UMEISHA RASMI LEO KATIKA JINA LA YESU, TUTAITAFUTA NA HATUTAIONA MILELE, ASEMA BWANA WA MAJESHI ATAWALAYE JUU YA MAMBO YA WATU, IKAWE MENE MENE TEKERI NA PERESI KWA ULIYEPANGA, KUASISI NA KUTEKELEZA MAUTI YA MTU HUYU NA UTEKAJI WA WATU UNAOTANGAZWA MARA KWA MARA, KOKOTE AMBAKO MKONO WA DOLA HAUWEZI KUFIKA, MKONO WA MUNGU UJILIPIZE KISASI HARAKA NA KWA MATISHO MAKUU, KATIKA JINA LA YESU, NA WOTE TUSEME AMEN Askofu Dickson Cornel Kabigumila ABC GLOBAL 09.09.2024
James Mbowe42,481 views • 1 year ago

Mambo haya yataendelea mpaka lini? Who is next? Kwanini uonevu huu ni kwa Viongozi wa Chadema tu? Au Chadema siyo watanzania? Hivi mtu kama John Heche akiitwa Polisi atakaidi kuja? Utaratibu uliotumika kumkamata Tundulisu naona ndio huo huo umetumika kumkamata Heche, ingawa Lisu mlimwacha akamaliza mkutano safari hii Makamu amekamatwa hata kabla ya kuhutubia. Mambo haya yanatia hasira sana. Free Tundulisu Free Heche. Kiwango cha chuki kinachojengwa kwenye Mioyo ya watu ni kikubwa sana.
James Mbowe27,557 views • 1 year ago

Hongereni sana Uongozi wa Bawacha Taifa kwa kufanikisha Siku ya wanawake. Uongozi mmefanya kazi kubwa sana ya Kuunganisha mtandao wa wanawake Nchi nzima. Hongera nyingi ziende kwa Mh Sigrada Mligo kwa kutambua Mchango wa Mh Freeman Mbowe katika kufanikisha siku yenu.
James Mbowe16,545 views • 1 year ago
No more content to load