
John Pambalu
@John_Pambalu • 310,691 subscribers
Former BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.
Shorts
Videos

Anakwambia mpinzani bora alikuwa Mrema. Halafu anaendelea kusema alikuwa KACHERO (maana yake mtumishi wa serikali halafu ndiyo mpinzani 😀😀😀). Kwa lugha rahisi anakwa kinyume chake ni sahihi, LISSU sio kachero, sio mfumo. Sasa huyo ndiyo mpinzani wa kweli watanzania wanamwamini
John Pambalu67,612 次观看 • 1 个月前

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Taifa, Dkt. Rugemeleza Nshala hii leo Julai 03, 2026 akizungumza na Wanahabari nje ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar Es Salaam amesema Tundu Lissu ameweka pingamizi zito na ameitaka ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini hapo kumlipa fidia.
John Pambalu13,660 次观看 • 2 个月前