
John Pambalu
@John_Pambalu • 310,036 subscribers
Former BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.
Shorts
Videos

Pamoja na kwamba wote ni wale wale. Lakini je, umejifunza nini?.
John Pambalu23,115 Aufrufe • vor 15 Tagen

Tunaongozwa na hekima ya kisa cha mwana mpotevu. Kuwakaribisha wapiganaji wote walio kosea njia. Kusema samahani ni hekima na katika hilo utafauti wetu si mkubwa zaidi ya ule wa wana CCM. Watarejea maelfu very soon. Kikubwa tutazame mbele katika mapambano yaliyo mbele yetu
John Pambalu16,009 Aufrufe • vor 14 Tagen

Wosia wa Mwigizaji mkongwe wa filamu, Hashim Kambi ambaye Amefariki Dunia, Aprili 27, 2026
John Pambalu38,173 Aufrufe • vor 1 Monat

Murilo anasema zile picha na video za 29 Oktoba 2025 zilikuwa ni picha za kutengeneza, sio za kweli. So sad
John Pambalu102,112 Aufrufe • vor 7 Monaten

Huyu ni mkuu wa majeshi mstaafu wakati wa Magufuli (CDF) Venance Mabeyo. Taratibu tu tutazungumza lugh moja.
John Pambalu58,291 Aufrufe • vor 5 Monaten

Mtendaji wa kata ya Mkolani Mwanza amekimbia Ofisi kukwepa kuwapa viapo Mawakala wa Chadema. Wasimamizi wasaidizi ngazi ya mitaa wamejifungia ndani wanasema hawana la kufanya kwa kuwa wao wame sign viapo ila mtendaji, Boss wao kakimbia ofisi. Hatutatoka hapa mpaka haki itendeke.
John Pambalu72,419 Aufrufe • vor 1 Jahr

UVCCM wanasema hivi. 1. Maelfu ya vijana hawana ajira. 2. Gwajima aliwakusanya wote wasio na ajira. Halafu akamkabidhi waziri mwenye dhamana. 3. Waziri hakuwapatia ajira. Alivyosepa hakugeuka nyuma. Halafu wanamlaumu Gwajima. Wakimaliza wanasema mama anaupiga mwingi. Wanaenda home kushindia miguu na utumbo wa kuku. Kuna shida kwenye vichwa vya UVCCM.
John Pambalu52,266 Aufrufe • vor 1 Jahr