
John Pambalu
@John_Pambalu • 310,285 subscribers
Former BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.
Shorts
Videos

Dully Sykes alimsifia Makonda, mwisho akaomba radhi. Mambo yamebadilika kweli.
John Pambalu27,162 просмотров • 14 дней назад

"Unapolalamika mtoto wako amevunjwa mguu, ameuwawa ulishindwa nini kumkataza asiende kwenye maandamano"-; Samia Suluhu
John Pambalu277,345 просмотров • 7 месяцев назад

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Taifa, Dkt. Rugemeleza Nshala hii leo Julai 03, 2026 akizungumza na Wanahabari nje ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar Es Salaam amesema Tundu Lissu ameweka pingamizi zito na ameitaka ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini hapo kumlipa fidia.
John Pambalu13,635 просмотров • 21 дней назад

Murilo anasema zile picha na video za 29 Oktoba 2025 zilikuwa ni picha za kutengeneza, sio za kweli. So sad
John Pambalu102,151 просмотров • 8 месяцев назад

Wosia wa Mwigizaji mkongwe wa filamu, Hashim Kambi ambaye Amefariki Dunia, Aprili 27, 2026
John Pambalu38,197 просмотров • 2 месяцев назад

Pamoja na kwamba wote ni wale wale. Lakini je, umejifunza nini?.
John Pambalu23,217 просмотров • 2 месяцев назад

Acheni huu UPUMBAVU. Tundu Antiphas Lissu aliingia gerezani akiwa mzima wa za Afya. Yuko chini ya uangalizi wa serikali. Msidhani kama mkiamua kumuwekea SUMU ili mumsingizie HECHE, kama tutawaelewa. Enyi wenye mikono iliyojaa damu msitoe uhai wa ndugu yetu.
John Pambalu58,055 просмотров • 6 месяцев назад

Huyu ni mkuu wa majeshi mstaafu wakati wa Magufuli (CDF) Venance Mabeyo. Taratibu tu tutazungumza lugh moja.
John Pambalu58,435 просмотров • 7 месяцев назад

Tunaongozwa na hekima ya kisa cha mwana mpotevu. Kuwakaribisha wapiganaji wote walio kosea njia. Kusema samahani ni hekima na katika hilo utafauti wetu si mkubwa zaidi ya ule wa wana CCM. Watarejea maelfu very soon. Kikubwa tutazame mbele katika mapambano yaliyo mbele yetu
John Pambalu16,034 просмотров • 1 месяц назад