
Kasimba Nolasco
@KasimbaNolasco1 • 2,360 subscribers
Mwenyekiti wa vijana wa chadema(bavcha) jimbo la iringa mjini 2019_2024
Videos

Miaka 17 iliyopita Bwana Madelu akiwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM alitengeneza kesi ya kuifuta Chadema akashindwa, alinaswa akihonga watu Pesa. Msikilize Tundu Lissu, Miaka 17 baadae Bwana Madelu anakuja na mpango wa kuifuta Chadema katika nafasi aliyozawadiwa katika nyakati hizi.
Kasimba Nolasco25,074 次观看 • 6 个月前
没有更多内容可加载