
macheda
@Macheda__ • 3,583 subscribers
Shorts
Videos

Namna pekee ya kukinusulu hiki chama ni kukirudisha mikononi mwa Wachaga kina Mbowe pengine na hapo tunaenda kukizika.
macheda27,329 просмотров • 24 дней назад

Vijana wengi waliojiunga na maandamano hawakujua kwamba nyuma ya harakati hizo kulikuwa na maslahi ya kisiasa na kifedha ambayo hayakuwahusu wao. Wengi walitumika kama zana huku wakifikiri wanapigana kwa ajili ya haki na uhuru wa kweli wa wananchi wenzao. #MariaSarungiNiMamluki
macheda51,173 просмотров • 2 месяцев назад
0:43
Sensitive content
This media may contain sensitive content.
0:38
Sensitive content
This media may contain sensitive content.
Больше нет контента для загрузки