
Mpale Mpoki
@MpaleMpoki • 5,702 subscribers
Videos

Ukaburu (apartheid) unakuja kwa kasi ya ajabu miaka zaidi ya 60 baada ya uhuru. Mkuu wa mkoa badala ya kuleta ubaguzi wa dhahiri unatakiwa kuwainua hao unaowadharau wawe na uwezo wa kuingia hoteli hizo hii inaitwa affirmative action Ubaguzi ni kinyume cha ibara ya 13 ya katiba
Mpale Mpoki18,316 просмотров • 4 дней назад

Sio kweli kuwa Rais wa Kenya anateua majaji. Uteuzi wa majaji ni mchakato wenye hatua 8 unaoanza nafasi ya jaji kuwa wazi. Nafasi ikiwa wazi ni lazima ITANGAZWE ndani ya siku 14. Anachofanya rais ni formal appointment. The President MUST appoint based on JSC recommendations
Mpale Mpoki10,095 просмотров • 1 месяц назад

Hela inayotumika kwa bata la Arusha ingeweza kuleta impact kubwa sana kwa wahitaji 100 ambao wangeweza kuwa na msaada kwa jamii kwa muda mrefu ujao. Bata ni starehe ya masaa na siku chache ambazo hazina multiplier effect Kupanga ni kuchagua Jebra Kambole Maria Sarungi Tsehai
Mpale Mpoki37,176 просмотров • 1 год назад

Kiongozi mzuri lazima awe na lugha ya staha, awaelewe watu wake na asidharau watu kutokana na madaraja, kipato au uwezo. Tatizo la foleni Dar sio watu ni serikali kushindwa kutoa usafiri wa umma wenye hadhi na unaoaminika kwa mamilioni ya wakazi wa jiji la Dar.
Mpale Mpoki14,422 просмотров • 8 месяцев назад
Больше нет контента для загрузки