
Joseph Oleshangay
@Oleshangay • 13,944 subscribers
I advocate for rule of good laws. Proud son of the land of man/Ngorox2. Weimar Human Rights Award Recipient- 2023.
Videos

Huyu mzee kimeo kweli. Nyerere alitengeneza uchawa ambao hadi sasa unasumbua taifa. Huyu ndio Chawa mzee zaidi.
Joseph Oleshangay56,253 görüntüleme • 18 gün önce

So they force the Maasai out to have this exclusive luxurious businesses. This is Melia in the Ngorongoro crater rim under construction. One can literally jump into the crater from the hotel. ell Suluhu regime you are not forcing Maasai out for conservation purposes
Joseph Oleshangay216,615 görüntüleme • 3 yıl önce

Chande inatakiwa uje utetee report yako ikitoka. Maswali 2 muhimu ni 1. Namna gani tume yenu hailengi kumkinga Samia na uwajibikaji wa Mauaji ya Halaiki 2. Namna gani Tume yenu ni ya upande mmoja. Ya ki CCM. Kila mjumbe aliwahi kunufaika na uteuzi wa mwenyekiti wa CCM
Joseph Oleshangay15,821 görüntüleme • 4 ay önce

Kuna wahuni wanaandaa PR kwamba Wamasai sio wa Tanzania. Semeni zote ila mjue Ngorongoro hatukuletwa na sheria. Hata mkifuta Katiba. Tusipoipenda Ngorongoro, hatutawahi kamwe kuipenda Tanzania. Kama uzalendo ni kupenda kwenu, Ngorongoro ndio nyumbani. Bi Kizimkazi ana kwao
Joseph Oleshangay42,066 görüntüleme • 2 yıl önce

Ukiwa na madaraka makubwa na hauna akili ni tatizo kubwa
Joseph Oleshangay22,362 görüntüleme • 1 yıl önce
Daha fazla içerik yok.