
Polycarp The Bibliophile
@PolycarpMDM • 25,249 subscribers
- (Historical, Scriptures &Traditional Analyst) - (Highway Engineering) - (CAD Tech 3D Modeling) - (Machinery, Equipments & Industrial Enthusiast)
Shorts
Videos
1:41
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Huyu Tembo mtoto lazima anajiuliza "huku wapi tena"
Polycarp The Bibliophile1,403,688 views • 15 days ago

Oya Congo Raia anampiga Ndonga Mjeda? Au ni nguo tu wakuu?
Polycarp The Bibliophile203,448 views • 19 days ago

Hapa Sasa ndio ilitakiwa Crown Ifukuzie, Na itoe Taarifa kabisa
Polycarp The Bibliophile96,404 views • 27 days ago

Tujikumbishe Kidogo wapinzani walipokua wakimwaga Moto Bungeni.
Polycarp The Bibliophile12,444 views • 9 days ago

Vijana wa TikTok si wamepata namba ya Mwaipopo aisee
Polycarp The Bibliophile57,156 views • 1 month ago

Huyu Dogo angeachwa dakika 2 tu Angemuua Baba yake.
Polycarp The Bibliophile68,394 views • 3 months ago

Makumi ya vijana wakiwa nje chumba cha kuhifadhia maiti, hospitali ya Mt.Meru Arusha kupokea mwili wa mwenzao Seif Omary aliyeuawa kikatili na askari wa hifadhi ya Ngorongoro, baada ya kukosea njia na kuingia eneo la hifadhi akiwa pamoja na wenzake. Mwili wa Seif umezikwa leo eneo la Matejoo kata ya Sakina mjini Arusha.! . Credits: Kusaga Tv Online
Polycarp The Bibliophile15,177 views • 20 days ago

(TAHADHARI KUHUSU VIDEO) Siku Ambayo Watu watu wa South Africa walisema ni mwisho wa Wahamiaji kuishi South Africa ni leo 30 June 2026 wakaita (Deathline) haijaeleweka wanataka kufanya nini, Tusubiri tuone. Hii ni Video mojawapo wa Watanzania wanaoishi eneo la "Matentini" wakiwatukana moja ya Raia wa Tanzania ambao ni Wapigania haki kwa Watanzania waishio SA wanaoitwa Juma Alone na Mohamed Msangi, Matusi haya ni sababu walishauriwa kurudi nyumbani kabla ya Deathline. Huwa nashangaa Salim Alkhasas kwanini huwa Anawasema WaEthiopia Kukimbia kwao kama kuna mazingira mazuri. Ukikutana na Raia wa Ethiopia Nchi yeyote Basi ni Mfanyakazi au Mfanyabiashara, Ila Ndugu zetu wa Tanzania kule south Wana hali mbaya sana, Hawana ushindani sokoni.
Polycarp The Bibliophile40,413 views • 2 months ago

UFAFANUZI KUTOKA KWA KATIBU MKUU WA TEC KUHUSU MKUTANO WA TEC NA RAIS
Polycarp The Bibliophile13,511 views • 21 days ago
