
Firearms Reviews
@SeekNaturalLife • 4,951 subscribers
|Medical & Health| |Education Activist| |Human rights activist| |unicef former volunteer| https://t.co/JZX9nS4akz
Shorts
Videos

Msikilize janja Farhan, amenyooka sana ila ukweli ndio nchi hii hautakiwi. Mara kadhaa huwa nakatia familia yangu na ndugu nakumbana sana na changamoto ya kuambiwa treni limejaa. Ukiingia kwenye mfumo limejaa, sitaki kuamini kwamba ni matatizo ya kimfumo ni UPIGAJI. Nakumbuka Kuna siku nimewahi kwenda pale station mojawapo, nkaambiwa limejaa nikasema siondoki ghafla chuma likaja watu wakaingia lakini Cha ajabu behewa hazina watu.. Nkarudi kumuuliza yule dada aliyenambia limejaa, akasema labda anifanyie mpango la mchana.. Huu mradi usiposimamiwa ipasavyo utakufa haraka sana.🚮🚮🚮
Firearms Reviews42,316 Aufrufe • vor 14 Tagen

Baada ya October 29 Watanzania wengi hawako sawa kiakili.
Firearms Reviews27,532 Aufrufe • vor 15 Tagen
Keine weiteren Inhalte verfügbar