
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹
@ThatBoyKhalifax • 58,113 subscribers
writer and editor at @TheChanzo | politics & social justice | formerly at @TheCitizenTZ | socialist | rap | anti-imperialist | views are my own, not anyone’s.
Shorts
Videos

gerson msigwa anapenda kujitokeza na kutolea “ufafanuzi” vitu ambavyo hata havihitaji kufafanuliwa. feb. 27, 2025, nilimuuliza kama hadhani kufanya hivi kunadhoofisha imani ya wananchi kwa serikali? jibu lake ni kwamba wananchi wanaiamini serikali yao sana:
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹26,221 görüntüleme • 2 ay önce

mimi pia nawasihi watanzania, wanaoweza, waichangie chadema. tunafaidika moja kwa moja tukiwa na upinzani imara, unaoweza kuishika mapembe ccm na serikali yake, hususan kwenye sera na matendo yake ya kionevu na kikandamizaji dhidi yetu w'nchi. tujihimu:
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹21,986 görüntüleme • 2 ay önce

kitila mkumbo anasema serikali anayoiwakilisha ni halali kwani “imepatikana kwa mujibu wa sheria.” baruani mshale, kutoka twaweza, anahoji endapo kama sheria hizo zinaweza kuwa vigezo wakati zenyewe zimekosolewa kwa kukiuka katiba, sheria mama ya nchi: 🎥: Kirati_07
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹14,608 görüntüleme • 1 ay önce

tanzania imefikia hatua ambapo “kila mtu anamuona mtu ambaye aliiba pesa [za umma], anaendelea na maisha yake, na anaonekana amefanikiwa, na inaonekana [hayo] ndiyo maisha,” kwa mujibu wa cag mstaafu, prof mussa assad (mei 19, 2023). 🎥: Kirati_07
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹15,587 görüntüleme • 1 ay önce

ningekuwa rais muislamu kutoka z'bar na nagundua kuna harakati kuifanya serikali yangu ionekane ina vita na kanisa katoliki, ningefanya kila linalowezekana kampeni hiyo kukoma. uwezo huo uko ndani yangu. kumbuka, mimi ni rais wa tanzania, nina nguvu zote:
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹28,607 görüntüleme • 5 ay önce

kuwa mwandishi wa habari hakukuondolei haki za msingi ambazo raia na binadamu wenzako wanazifurahia. kitendo cha bodi ya ithibati kuwakaripia na kuwapiga mkwara waandishi kwa maoni yao kinakwenda kinyume na sheria na katiba, na kinapaswa kukemewa na kukoma mara moja:
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹19,988 görüntüleme • 3 ay önce

ndugu zanguni, tusiende nchini kwa watu. hatutakiwi. tubaki hapa tupambane na tatizo letu: ccm. nchi hii inaweza kuwa bora na salama zaidi kwa watu wote, siyo familia chache za walioko madarakani na maswahiba wao. ni wajibu wetu kufanikisha hilo.
khalifa joshua said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹20,346 görüntüleme • 1 yıl önce

hiki ndo ninachokitegemea kutoka kwako ninapokwambia karibu kula
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹15,458 görüntüleme • 1 yıl önce
Daha fazla içerik yok.