
khalifa said #INAWEZEKANA ☭🌹
@ThatBoyKhalifax • 58,922 subscribers
writer and editor at @TheChanzo | politics & social justice | formerly at @TheCitizenTZ | socialist | rap | anti-imperialist | views are my own, not anyone’s.
Shorts
Videos

kumbuka wewe mwananchi huna huu upendeleo. ukifanya kosa, sheria inachukua mkondo wake. muda mwingine hata kosa huna. lakini sheria hiyo hiyo haifanyi kazi kwa kiongozi wa serikali. wao wapo juu ya sheria. wanalindwa. wanahamishwa vituo. #JamhuriyaNdizi:
khalifa said #INAWEZEKANA ☭🌹45,662 次观看 • 22 天前

marekani si mfano wa demokrasia ambayo mimi binafsi ningetamani tuijenge hapa tanzania. lakini, kama wasemavyo waswahili, myonge myongeni, haki yake mpeni: serikali ya marekani haina mamlaka ya kufungia chombo cha habari ikijisikia tu kufanya hivyo. 🎥: Kirati_07:
khalifa said #INAWEZEKANA ☭🌹18,054 次观看 • 21 天前

gerson msigwa anapenda kujitokeza na kutolea “ufafanuzi” vitu ambavyo hata havihitaji kufafanuliwa. feb. 27, 2025, nilimuuliza kama hadhani kufanya hivi kunadhoofisha imani ya wananchi kwa serikali? jibu lake ni kwamba wananchi wanaiamini serikali yao sana:
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹26,301 次观看 • 5 个月前

kuwa mwandishi wa habari hakukuondolei haki za msingi ambazo raia na binadamu wenzako wanazifurahia. kitendo cha bodi ya ithibati kuwakaripia na kuwapiga mkwara waandishi kwa maoni yao kinakwenda kinyume na sheria na katiba, na kinapaswa kukemewa na kukoma mara moja:
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹19,997 次观看 • 6 个月前

kitila mkumbo anasema serikali anayoiwakilisha ni halali kwani “imepatikana kwa mujibu wa sheria.” baruani mshale, kutoka twaweza, anahoji endapo kama sheria hizo zinaweza kuwa vigezo wakati zenyewe zimekosolewa kwa kukiuka katiba, sheria mama ya nchi: 🎥: Kirati_07
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹14,608 次观看 • 5 个月前
没有更多内容可加载