
Truth WatchDog🇹🇿
@TruthWatchDogTZ • 30,786 subscribers
THREADS 🧵|| Political Analyst, unapologetically dissecting Tanzanian politics with a sharp tongue, Fearless critic, passionate advocate, Justice, Truth
Shorts
Videos

Kuna story imekuwa ikizunguka sana kuhusu kisa cha Baby Love na shoga yake Nice B, inasikitisha sana kwakuwa kisa hiki kimepelekea kifo cha kikatili cha Baby Love. Tukio hili limetokea nchini Haiti, ambako marafiki hawa wawili walio kutana Kwenye mtandao wa kijamii wa TIKTOK⤵️
Truth WatchDog🇹🇿110,366 次观看 • 27 天前
1:16
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Huko ndiko walipo juliana na kuwa marafiki na hii ilipelekea Baby Love kupokea mwaliko kutoka kwa Nice B. Alichokosea ni kurekodi na kupost video ikionyesha mazingira ama life stlye ya Nice B. Nice B alikuwa ni Mtu wa kuroll na kundi hatari nchini Haiti,400 Mazowo na hao ndio ⤵️
Truth WatchDog🇹🇿47,398 次观看 • 27 天前
0:40
Sensitive content
This media may contain sensitive content.
1:56
Sensitive content
This media may contain sensitive content.