Twaha Mwaipaya's banner
Twaha Mwaipaya's profile picture

Twaha Mwaipaya

@Twaha_Mwaipaya324,116 subscribers

.Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) 2019-2025 Prison graduate 133 days in jail. Human rights defender.

Shorts

Waandishi wa habari wa Digital Media wameitwa Ikulu kupangwa na kupewa mkakati wa kuanza kampeni ya kupost contents za kukataa maandamano ya December.Hapo wako kwenye foleni ya Chai. Acheni huu ujinga Mara moja, sasa hivi hata mkijamba tunaambiwa.

64,970 просмотров

Leo kazi ipo Mh. Tundu Lissu ameingia mahakamani na shehena la nyaraka.

25,655 просмотров

Mwanza Nyegezi Polisi waliwakimbia Raia wakaacha gari, hii ilitokea baada ya kumpiga Raia Risasi, walichoma moto gari hilo baada ya kuendesha mpaka likaisha Mafuta. #Hatujamaliza

36,895 просмотров

Huyu kijana anaitwa Juma alipigwa risasi na polisi wakatokomea na mwili wake mpaka leo mama yake hajampata mwanae. #D9

31,552 просмотров

Wananchi wanakwepa risasi kama wapo kwenye uwanja wa vita, Watanzania tumepitia mateso makubwa sana, hapa ni Tunduma, #MsiogopeTutashinda

30,428 просмотров

Mama atamaliza tatizo hili usijali.

Mama atamaliza tatizo hili usijali.

47,722 просмотров

HABARI ZENU TUOKOE MGUU WA SHUJAA HUYU. Kijana huyu alipigwa risasi ya mguu tarehe 29 October, anawatoto na mke yeye ndio tegemezi, tumshike mkono shujaa wetu tuma mchango wako kwenda namba 0715444064 Tigo jina Nazareth Mwaijande, Tusiruhusu mguu uoze, wao wana risasi Sisi tuna nguvu ya umma tumtibu mwenzetu.

Sensitive content

14,039 просмотров

Chuma kimeingia mahakamani na mzuka sana leo, kazi wanayo.

Sensitive content

Chuma kimeingia mahakamani na mzuka sana leo, kazi wanayo.

16,926 просмотров

Videos

Twaha_Mwaipaya's profile picture

Vibaka wanasema hadharani unyama wao.

Twaha Mwaipaya

23,389 просмотров • 11 дней назад

Twaha_Mwaipaya's profile picture

UJUMBE WA KANALI AUGUSTINO POLEPOLE LEO 27.11.2025.

Twaha Mwaipaya

177,364 просмотров • 6 месяцев назад

Twaha_Mwaipaya's profile picture

Sikiliza Godbless Lema akimpiga Bashite

Twaha Mwaipaya

20,883 просмотров • 18 дней назад