
Twaha Mwaipaya
@Twaha_Mwaipaya • 324,116 subscribers
.Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) 2019-2025 Prison graduate 133 days in jail. Human rights defender.
Shorts
Videos

Mzee Wa Miaka 90 , Mzee JOHN OUMA ODERO Akabidhi Kiwanja Bure Kwa Chadema Na Kuomba Kiwanja Hicho Kijengwe Kwa Kuipa Chama Hadhi Katika Kata Ya Nyathorogo Wilaya ya RORYA.. Kiwanja Hicho Kimepokelewa na Mwenyekiti Wa CHADEMA Mkoa Wa Mara Mwl Chacha Heche Akiwa Kwenye Ziara Yake ya Baraza la Uongozi Mkoa wa Mara, Mwenyekiti Amesisitiza Kiwanja Hicho Kitajengwa Kwa Haraka na Jina la Jengo Hilo Litapewa Jina La Mzee Huyo Mzee JOHN OUMA ODERO.
Twaha Mwaipaya13,011 次观看 • 4 天前

Huyo aliyebebwa anaitwa Wilfred Elisha Mgonela ni diwani haramu wa ccm kata ya Pwaga iliyopo Jimbo la Kibakwe Wilayani Mpwapwa. Huyu Wilfred Elisha Mgonela ni shemeji wa Mbunge wa Kibakwe George Boniface Simbachawene yaani dada wa Simbachawene kaolewa na huyu Wilfred. Amekuwa akifanya vitendo vingi vya unyanyasaji Kwa Kinga ya Simbachawene. Ni mtu katili sana.
Twaha Mwaipaya30,752 次观看 • 2 个月前

Hii ni Jana kariakoo unaambiwa Polisi walikamata bodaboda wakapakia kwenye gari RAIA wakawasha Moto bodaboda zikashushwa, unasikia hapo watu wanasema vibaka hao vibaka hao, watu wamechoka Tarehe 29.10.2025 ilituletea Tanganyika MPYA watu sio waoga tena. Hapo RAIA wanatoa wazo la kuchoma Moto gari inamaanisha hawataki kuonewa tena, nyie tekeni ueni ila hatatisha kila MTU . ALAFU hapo kila MTU kageuka Afisa habari simu juu watu wanatumza risiti nitumieni hizo video zote.
Twaha Mwaipaya33,568 次观看 • 2 个月前