
A.M Media
@a_m_media_ke • 10,465 subscribers
Real-time news, trending politics, and entertainment videos from Kenya and beyond. News that moves with you
Shorts
Videos

“Wakikuyu wanataka kutumia Sifuna kugawa kura za Waluhya. Na nyinyi Waluhya, mkiendelea kumfuata Sifuna, Ruto atachaguliwa bila kura zenu, na watoto wenu, Mudavadi na Wetang’ula, watakosa nafasi katika serikali ijayo. Sisi Waluhya, si lazima tuwe na Rais.” Francis Atwoli warns Luhyas against Sifuna
A.M Media113,581 views • 15 hours ago

“Rais Ruto ameanza kunisifu. Yeye mwenyewe ametangaza kwamba mpinzani wake sugu ni Kalonzo Musyoka. Sasa, kama Ruto mwenyewe ametambua hivyo, si sisi Wakenya tujikaze tuchukue hii kitu?”Kalonzo Musyoka brags after President Ruto called him 'Ndugu Yangu' in Machakos
A.M Media40,630 views • 9 hours ago

''I want to tell Aliko Dangote, please don’t rush to start the refinery because, when I’m sworn in as President of Kenya next year, you will be heading back to Nigeria. We Kenyans have business people who can start the refinery,'' EX-KDF Soldier Patrick Osoi says
A.M Media1,769,302 views • 14 days ago

“Yesterday, some people saw me in Wamunyoro with Gachagua, and somehow, they are telling us that we should not associate with people from Mt. Kenya. I will restore this country to the ideals of 1963, where there will be no tribalism.” Edwin Sifuna breaks his silence
A.M Media89,022 views • 3 days ago

“Sifuna is very dangerous. Nyinyi mama mboga, msikubali kuchangia Sifuna pesa. Akiwa Nairobi, anakunywa pombe ile iko na majina mawili mawili kama Johnnie Walker. Huyo mtu ni extortionist mkubwa sana. Ana-extort mama mboga, governors, mpaka investors.” President Ruto warns Mama Mbogas against Sifuna.
A.M Media376,600 views • 22 days ago