
Abigail Chams 🦋
@abigail_chams • 8,331 subscribers
singer, songwriter, MULTI-instrumentalist
Shorts
Videos

Muhibu imepenya kona zote za Dar. Nikapata nafasi kutembelea Buza baada ya shabiki yangu kunialika. Sasa sijui kama alikuwa anani- challenge au kweli alitaka niende😂. Anyway, nyanya za Buza nilizipenda, nikanunua kilo mbili. Haya, wapi next? Tag your location NIJE👇🏽🥰
Abigail Chams 🦋66,143 görüntüleme • 1 yıl önce
Daha fazla içerik yok.