
Tanzania Abroad TV
@AbroadTanzania • 89,761 subscribers
Online TV based Abroad , we retrieve different quotes of different leaders no matter when stated ..email us on [email protected] tweets in Swahili and English
Shorts
Videos

Nchi hii kila kona Kikwete kikwete kikwete huyu mzee ameharibu nchi sana Mnakumbuka Magufuli alimchagua Mwinyi awe Makamu, Lakin kikwete alisoma atasogeza Vipi draft aendelee kuongoza akasema noo Makamu awe Samia! (mliosoma Cuba mmenielewa) hii ni kwa kauli ya JPM Mwenyewe alikiri Sasa Mahita Naye anasema kwamba Kikwete aliingilia suala la kuteua IGP akamweka Said Mwema Kisa anaoa kwenye Ukoo wake! Na Mahita akasusia shughuli zote ! katika vitu ambavyo vinanishangaza sana katika maisha ya hii Nchi yangu Tanzania,ni namna ambavyo kikwete anahusishwa sana na mambo ya hovyo sana, lakini si yeye wala mke ama mtoto wake anajibu chochote juu ya tuhuma zozote,sasa ni dharau ama ni nini kuhusu yeye? ✍🏻✍🏻✍🏻 John Heche Maria Sarungi Tsehai
Tanzania Abroad TV24,513 görüntüleme • 16 gün önce

Huyu Akifa kuna Haja ya kumlilia? Swali Muhimu hili
Tanzania Abroad TV257,500 görüntüleme • 2 yıl önce

Ajali Kisarawe ! Ni ajali ya 86 ndani ya week moja kwa Tanzania (ajali za mabasi tu ndo nahesabu)
Tanzania Abroad TV137,976 görüntüleme • 1 yıl önce

Mchina aliacha mtoto Uganda ! Nimekumbuka hata wachina walioacha vunyakyusa na vuha kibao huko kigoma 😃
Tanzania Abroad TV94,622 görüntüleme • 1 yıl önce
2:03
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Wameanza wameanza wameanza kulia huyu si mwanachama wa CCM ? Analia Lia sana
Tanzania Abroad TV108,642 görüntüleme • 2 yıl önce