
Adv. Dickson Matata
@AdvMatata • 26,070 subscribers
advocate/ lawyer
Videos

Moja ya hoja ambayo Bunge la Marekani limeweka kwenye "bill" kabla ya kuwa sheria dhidi ya Tanzania, ni pamoja na hoja kuwa Serikali ya Tanzania inaminya uhuru wa kuabudu (dini). Jana wabunge waliojipitisha bila uchaguzi wanasema hakuna uhuru wa kuabudu unaominywa nchini. Swali; hivi kanisa la Gwajima (Ufufuo na uzima) lilifungiwa kwa kosa gani?
Adv. Dickson Matata16,143 次观看 • 4 个月前
0:34
Sensitive content
This media may contain sensitive content.
没有更多内容可加载