
Almalik Mokiwa
@Almalik_Mokiiwa • 3,001 subscribers
Crypto Enthusiast || MARKET ENGINEER and mkt GENIUS|| I do Forex trading ||GOLD HUNTER | CERTIFIED PRO SCALPER|| SIUZI SIGNAL|| MENTOR WA WAGONGA ULIMBO!!
Videos

1. Hii trade sio yakwako, HUJAFLIP WEWE. Next time ukipost kitu cha mtu make sure una mu acknowledge. 2. Hii trade amepost mtu whatsap status ambae una namba zake, na yeye amekusave ukaamua kumuomba hiyo screenshot nayeye akakupa kiungwana akiwa hajui kama unakuja kuianika huku kwa ku MUTE bila ku aknowledge kama kazi sio yako. 3. Hii inatufanya tu-doubt credibility yako na tuanze kukupuuza kwasababu kuna kila dalili kuwa huwenda trades nyingi unazoshare humu UNAOKOTEZA kwa wana. 4. Kama unajiamini kuwa ni yakwako unaweza kuweka Evidence ya Withdrawal yako na mimi nitaambatanisha Withdrawal ya mwenye account hapa chini.
Almalik Mokiwa10,142 次观看 • 5 个月前
没有更多内容可加载