
AMRISALY
@amrisaly • 12,616 subscribers
Founder and investor | Let’s impact millions, intelligencefx, Intelligence express,
Shorts
Videos

Kuanzia kumiliki pesa nyingi, magari ya kifahari, nyumba ufukweni, biashara, safari za nje ya nchi, freedom na mengine mengi, Miaka 10 iliyopita aliweza kuzungumza vitu vyote atakavyovifanya kwenye maisha yake live pale youtube, Then akaweza kuvifanikisha, Kumekuwa na maswali mengi sana juu ya mambo anayoyafanya, footprint na ukweli wa mafanikio yake, Ukweli ambao watu wengi wamekuwa wakiogopa kuuliza hata wanapofanya nae podcast/interview, Lakini kwa faida ya wengi tumeuliza maswali hayo yote from A - Z na kumfanya afunguke vitu ambavyo hajawahi kusema popote pale, Zaidi ya hapo ameelezea kiundani experience yake ya maisha yote aliyopitia, highs, lows, lessons, namna anavyo-handle pesa, investments, pressure, anavyoweza ku-maintain, kupanga mipango ya muda mrefu na kuitimiza na mengine mengi, Kitu ambacho kinafanya episode hii kuwa very EXCEPTIONAL na yamoto kuliko mtu yoyote anavyoweza ku-imagine, Na kufanya tuipe hadhi ya kuiita full MASTERCLASS, Masterclass ambayo kukupa nafasi ya kuiona for free ni upendeleo mkubwa sana, Na impact ya masterclass hii itaacha, value, information na alama kubwa sana kwenye maisha yako, Kutazama full episode click link kwenye bio au search Let’s Impact Millions pale YouTube, subscribe na turn on notifications, 👇👇👇 Tukifika subscribers 15,000 (Only 700 to go) tu tuna-release official episode, OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS.
AMRISALY15,377 görüntüleme • 6 ay önce
Daha fazla içerik yok.