
Awesi Ally Mkubwa
@Awesially • 14,295 subscribers
Digital creator/Influencer/Interpreneur
Shorts
Videos

Pengo makeke akikuingiza kwenye 18 huchomoki😀 huyu jamaa inaonekana alikua tapeli
Awesi Ally Mkubwa20,494 Aufrufe • vor 1 Monat

Ukitaka kudumaza fikra ya mwanadamu ili upate kumtawala cheza na vitu 2 vikuu: 1. Mtie umasikini: Ukimtia umasikini yeye muda wote atakua anawaza kutafuta kula yake na familia yake. Hapa hatofikiria kesho yake na kizazi chake cha baadae bali anawazia leo nitapata wapi kula yangu. 2. Mnyime elimu ili asijitambue: Hapa atashindwa kujua haki zake za msingi kama mwananchi na badala yake atakua kama kasuku
Awesi Ally Mkubwa11,335 Aufrufe • vor 1 Monat

Huu ndio ukweli ingawa watawala hawapendi kusikia maoni kama haya🥰
Awesi Ally Mkubwa38,884 Aufrufe • vor 1 Jahr
Keine weiteren Inhalte verfügbar