
Awesi Ally Mkubwa
@Awesially • 14,295 subscribers
Digital creator/Influencer/Interpreneur
Shorts
Videos

Ukitaka kudumaza fikra ya mwanadamu ili upate kumtawala cheza na vitu 2 vikuu: 1. Mtie umasikini: Ukimtia umasikini yeye muda wote atakua anawaza kutafuta kula yake na familia yake. Hapa hatofikiria kesho yake na kizazi chake cha baadae bali anawazia leo nitapata wapi kula yangu. 2. Mnyime elimu ili asijitambue: Hapa atashindwa kujua haki zake za msingi kama mwananchi na badala yake atakua kama kasuku
Awesi Ally Mkubwa11,335 次观看 • 1 个月前
没有更多内容可加载