
Ayubu Madenge
@ayubu_madenge • 393,861 subscribers
Dad|Friend|Citizen|Humble servant of the people
Videos

Magufuli aliapishwa kuwa Rais tarehe 05/11/2015, siku iliyofuata akawa anaoneshwa maeneo ya Ikulu, alipofika kwenye geti la Ikulu akaamua atembee kwa miguu kwenda Wizara ya fedha akafanya ziara ya kushitukiza. Tazama video hii ya namna Magufuli alivyoingia hapo Wizarani.
Ayubu Madenge111,407 views • 1 year ago

Sikiliza ushauri toka kwa shabiki wa Arsenal, Charles Hillary enzi za Uhai wake.
Ayubu Madenge69,324 views • 1 year ago

Papa Francis alikuwa anawapigia simu Wapalestina wa Gaza karibu kila siku usiku na kuzungumza nao na kuwatia moyo. Tazama kwenye video hii anaanza na salamu ya “Assalamu alaykum”. Papa Francis anakumbukwa pia kwa namna alivyokuwa anawatetea Wapalestina na kupinga vita ya Gaza.
Ayubu Madenge55,090 views • 1 year ago

Kwenye kila fainali ya FA kabla ya mechi kuanza lazima uimbwe wimbo wa dini unaoitwa “Abide with me” yaani Kaa Nami. Wimbo huu huimbwa zaidi na madhebu ya Kiprotestant kama Anglican na Lutheran. Waingereza wamedumisha Utamaduni wa kuimba wimbo huu kwenye fainali kwa miaka 100.
Ayubu Madenge48,781 views • 1 year ago

Tazama video ya kwanza ya siku ya kwanza ya Charles Hillary akiwa kazin Ikulu ya Zanzibar 01/03/2023, kama ilivyorushwa na Azam Media. Sikiliza maneno hayo ya Charles Hillary akisema anajua kuna siku video hii itatoka na hatimaye leo tumeiona video hii kweli naye hayupo hai. Sad
Ayubu Madenge46,585 views • 1 year ago

Maeneo yote na vitu vyote ambavyo Kim Jong Un Kiongozi wa Korea Kaskazini amevigusa huko China vimefutwa kwa ustadi wa hali ya juu ili asibakize DNA yake ikaja kutumika kupata taarifa zake. Tazama kiti alichokalia wakati anazungumza na Putin kilivyofutwa na watu wake wa Usalama.
Ayubu Madenge22,090 views • 1 year ago

Magufuli alikuwa Rais wa Kwanza katika historia ya nchi yetu kuingia Kanisani kisha kupitisha harambee ya Ujenzi wa Msikiti wa Chamwino Dodoma. Harambee hiyo ilifanyika ndani ya Kanisa Katoliki na akasema Paroko ndiye atakaye wasilisha mchango huo kwa Sheikh. Tazama video hii.
Ayubu Madenge26,594 views • 1 year ago

Siku ya Mandela mwaka 2019 kwenye kituo cha Marekani jijini DSM, nilipata nafasi ya kufanya mazungumzo juu ya falsafa za Mandela na kujadiliana na vijana wenzangu juu ya yale tunayoweza kujifunza toka kwake. Leo nimekutana na sehemu ya video ya majadiliano hayo kwenye maktaba.
Ayubu Madenge16,528 views • 1 year ago
No more content to load