
Azam TV
@azamtvtz • 1,558,472 subscribers
Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000 | 📻 @ufmradiotz | @AzamTVKenya, @Azamtv_MW, @azamtvzw, @azamtvRw, @Azamtv_ug
Shorts
Videos

Mama mzazi na majirani wa marehemu Meshack Daudi (20) anayedaiwa kufariki dunia baada ya kupigwa risasi wakati wa maandamano yaliyofanyika jana Lamadi mkoani Simiyu waeleza ya moyoni. Meshack alikuwa ni mhitimu wa kidato cha sita katika shule ya sekodari Loliondo ya jijini Arusha na alikua anajiandaa kwenda chuo kikuu. #AzamTVUpdates Mhariri | Sabina Ntobi, John Mbalamwezi
Azam TV177,200 Aufrufe • vor 2 Jahren

KARIAKOO DERBY: Haya hapa magoli yote sita kwa lugha ya kiingereza yakishereheshwa na @peterotai82 .... anasema "It's double double" FT: Simba SC 1-5 Yanga SC #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #NBCPL #NBCPLUpdates #LigiKuuYaNBC #LigiKuuTanzaniaBara #SokaLetuDamdam #10DaimaDamdam #KariakooDerby #WataniWaJadi #SimbaYanga #SimbaSC #YangaSC #MpakaMseme #YaaniMpakaMseme
Azam TV129,256 Aufrufe • vor 2 Jahren

Nyuki ni mdudu aliyejizolea umaarufu kutokana na kuzalisha asali ambayo ni chakula, kiburudisho na dawa ya magonjwa mbalimbali. Umaarufu wake unazidi kuongezeka kila kukicha kutokana na tafiti zinazofanywa na wataalamu ambapo sasa imebainika sumu ya nyuki ni tiba mbadala ya maumivu sugu, ganzi, uvimbe na kuongeza kinga ya mwili kwa binadamu. Kutana na daktari anayetumia sumu ya nyuki kutibu binadamu. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi
Azam TV72,339 Aufrufe • vor 2 Jahren

KARIAKOO DERBY: ‘Jeshi’ la #AzamTV lilivyowasili ndani ya dimba la Benjamin Mkapa tayari kwa kazi ya kukuletea burudani ya mechi ya #KariakooDerby kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC. Mbungi itapigwa saa 1:15 usiku LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #NBCPL #YangaSimba #YangaSC #SimbaSC #HainaKipengele
Azam TV53,247 Aufrufe • vor 1 Jahr

“Msimame tu mjibu ndugu zangu…mnahofia nini, hakuna cha kuhofia hapa. Mkiambiwa mwenyekiti wenu, Rais wenu muuaji waambieni ni kweli ameua nguvu hasi ya upinzani. Mkiambiwa mwenyekiti wenu, Rais wenu muuaji waambieni ni kweli ameua giza lililokuwa limeigubika Tanzania…na kwamba sasa Tanzania katika kiwango cha kimataifa inang’ara. Hayo ndiyo niliyoua Rais wenu na mwenyekiti wenu…sijawahi ua mtu labda sisimizi…kwa hiyo ndugu zangu simameni tu mjibu…” – Rais Samia Suluhu Hassan akiongea leo Septemba28, 2024 wakati wa kikao cha Baraza la UWT Taifa kilichofanyika katika ukumbi wa Kanisa Katoliki Bombambili Songea Mkoani Ruvuma. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi
Azam TV56,875 Aufrufe • vor 1 Jahr

Baadhi ya abiria wa mabasi ya safari ndefu za mikoani wametoa malalamiko yao kwa madereva wanaowapeleka katika hoteli na migahawa yenye gharama kubwa za vyakula pindi wanaposafiri kwa madai ya kushindwa kumudu gharama hizo na kuziomba mamlaka zinazohusika kuangalia suala hilo ili waweze kupata unaafuu pindi wawapo safarini. Abiria hao wameongeza kuwa licha ya kuuziwa chakula kwa gharama kubwa lakini bado chakula chenyewe huwa ni kidogo na hakikidhi haja ya mtumiaji. (Imeandaliwa na Joyce Mwakalinga, Mwandishi ni Anoth Paul ) #MalalamikoyaAbiria #MabasiyaSafariNdefu #ChakulaSafarini #AzamTVUpdates
Azam TV63,446 Aufrufe • vor 2 Jahren

#MzizimaDerby Assist ya 11 kwa Feisal Salum kwenye ligi msimu huu ilivyozaa goli la pili la Azam FC kupitia kwa super sub, Zidane Sereri ambaye pia ndiye nyota wa mchezo…. FT: Simba SC 2-2 Azam FC #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPL #SimbaSC #AzamFC #SimbaAzam Azam FC
Azam TV40,650 Aufrufe • vor 1 Jahr

Historia nyingine imeandikwa…Rais Samia Suluhu Hassan amempisha mtoto mwenye umri wa miaka minane, Georgina Magesa na kumruhusu akae kwenye kiti chake. Shuhudia kilichotokea kabla na baada ya mtoto huyo mwenye ndoto za kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupewa nafasi ya kukaa kwenye kiti maalum cha Rais Samia. Tuko mbashara kupitia chaneli ya UTV, Youtube, facebook na Twitter. #UzinduziMinaraDTT #AzamTV #10DaimadamDam
Azam TV69,233 Aufrufe • vor 3 Jahren