
Azam TV
@azamtvtz • 1,557,864 subscribers
Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000 | 📻 @ufmradiotz | @AzamTVKenya, @Azamtv_MW, @azamtvzw, @azamtvRw, @Azamtv_ug
Shorts
Videos

Mama mzazi na majirani wa marehemu Meshack Daudi (20) anayedaiwa kufariki dunia baada ya kupigwa risasi wakati wa maandamano yaliyofanyika jana Lamadi mkoani Simiyu waeleza ya moyoni. Meshack alikuwa ni mhitimu wa kidato cha sita katika shule ya sekodari Loliondo ya jijini Arusha na alikua anajiandaa kwenda chuo kikuu. #AzamTVUpdates Mhariri | Sabina Ntobi, John Mbalamwezi
Azam TV177,170 görüntüleme • 1 yıl önce

#HainaKipengele 📅 08/03/2025 💛🧡 Young Africans SC 🆚 Simba Sports Club ❤️🤍 #KariakooDerby #NBCPremierLeague
Azam TV135,348 görüntüleme • 1 yıl önce

KARIAKOO DERBY: Haya hapa magoli yote sita kwa lugha ya kiingereza yakishereheshwa na @peterotai82 .... anasema "It's double double" FT: Simba SC 1-5 Yanga SC #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #NBCPL #NBCPLUpdates #LigiKuuYaNBC #LigiKuuTanzaniaBara #SokaLetuDamdam #10DaimaDamdam #KariakooDerby #WataniWaJadi #SimbaYanga #SimbaSC #YangaSC #MpakaMseme #YaaniMpakaMseme
Azam TV129,228 görüntüleme • 2 yıl önce

#AzamONE Unlocked 🔓 – KUFULI LIMEFUNGULIWA Karibu kwenye ulimwengu mpya wa filamu, tamthilia na vipindi halisi vya burudani muda wote ukiwa kokote ulimwenguni. AzamONE inazidi kukua na kuwa imara zaidi. Habari njema ikufikie kuwa kuanzia JANUARI 2026, kutakuwa na mabadiliko ya ratiba za filamu, tamthilia na vipindi, ili kukata kiu na kuongeza ladha ya burudani kwa mtazamaji wa chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi cha #AzamTV. MABADILIKO YA RATIBA KWENYE TAMTHILIA • SAA 3:00 USIKU hadi SAA 4:00 USIKU tamthilia zitaruka Jumatatu hadi Alhamisi. • WIKIENDI - Tamthilia zitaruka IJUMAA hadi JUMAPILI • America’s Got Talent sasa itaruka kila JUMAMOSI NA JUMAPILI SAA 12:00 JIONI. UPANDE WA FILAMU - #HollywoodBlockbusters zitakuwa zikiruka mapema tu SAA 1:00 USIKU kila JUMAMOSI na JUMAPILI. Hii ndio maana halisi ya tumeifungua AzamONE. Kaa tayari kwa mwaka wenye mambo mapyaaa. #AzamONEUnlocked
Azam TV36,218 görüntüleme • 8 ay önce

Nyuki ni mdudu aliyejizolea umaarufu kutokana na kuzalisha asali ambayo ni chakula, kiburudisho na dawa ya magonjwa mbalimbali. Umaarufu wake unazidi kuongezeka kila kukicha kutokana na tafiti zinazofanywa na wataalamu ambapo sasa imebainika sumu ya nyuki ni tiba mbadala ya maumivu sugu, ganzi, uvimbe na kuongeza kinga ya mwili kwa binadamu. Kutana na daktari anayetumia sumu ya nyuki kutibu binadamu. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi
Azam TV72,334 görüntüleme • 2 yıl önce

KARIAKOO DERBY: ‘Jeshi’ la #AzamTV lilivyowasili ndani ya dimba la Benjamin Mkapa tayari kwa kazi ya kukuletea burudani ya mechi ya #KariakooDerby kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC. Mbungi itapigwa saa 1:15 usiku LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #NBCPL #YangaSimba #YangaSC #SimbaSC #HainaKipengele
Azam TV53,247 görüntüleme • 1 yıl önce

“Msimame tu mjibu ndugu zangu…mnahofia nini, hakuna cha kuhofia hapa. Mkiambiwa mwenyekiti wenu, Rais wenu muuaji waambieni ni kweli ameua nguvu hasi ya upinzani. Mkiambiwa mwenyekiti wenu, Rais wenu muuaji waambieni ni kweli ameua giza lililokuwa limeigubika Tanzania…na kwamba sasa Tanzania katika kiwango cha kimataifa inang’ara. Hayo ndiyo niliyoua Rais wenu na mwenyekiti wenu…sijawahi ua mtu labda sisimizi…kwa hiyo ndugu zangu simameni tu mjibu…” – Rais Samia Suluhu Hassan akiongea leo Septemba28, 2024 wakati wa kikao cha Baraza la UWT Taifa kilichofanyika katika ukumbi wa Kanisa Katoliki Bombambili Songea Mkoani Ruvuma. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi
Azam TV56,849 görüntüleme • 1 yıl önce

Baadhi ya abiria wa mabasi ya safari ndefu za mikoani wametoa malalamiko yao kwa madereva wanaowapeleka katika hoteli na migahawa yenye gharama kubwa za vyakula pindi wanaposafiri kwa madai ya kushindwa kumudu gharama hizo na kuziomba mamlaka zinazohusika kuangalia suala hilo ili waweze kupata unaafuu pindi wawapo safarini. Abiria hao wameongeza kuwa licha ya kuuziwa chakula kwa gharama kubwa lakini bado chakula chenyewe huwa ni kidogo na hakikidhi haja ya mtumiaji. (Imeandaliwa na Joyce Mwakalinga, Mwandishi ni Anoth Paul ) #MalalamikoyaAbiria #MabasiyaSafariNdefu #ChakulaSafarini #AzamTVUpdates
Azam TV63,446 görüntüleme • 2 yıl önce

Karibuni Nyumbani, watoto wa Mzee Kikala. Mabalozi wapya wa Azam Media Ltd.
Azam TV24,351 görüntüleme • 8 ay önce

#MzizimaDerby Assist ya 11 kwa Feisal Salum kwenye ligi msimu huu ilivyozaa goli la pili la Azam FC kupitia kwa super sub, Zidane Sereri ambaye pia ndiye nyota wa mchezo…. FT: Simba SC 2-2 Azam FC #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPL #SimbaSC #AzamFC #SimbaAzam Azam FC
Azam TV40,589 görüntüleme • 1 yıl önce