
Baba Mwita
@BabaMwita • 71,805 subscribers
Husband | Father | Lawyer | Human Rights Activist | Democracy | Rule of Law | A People's Servant | Cambridge Alumni
Shorts
Videos

Baada ya kumsikia toka kwenye kinywa chake mwenyewe, kwamba ana nia ya kugombea urais, 2025, natangaza RASMI kumuunga mkono Adv. TUNDU LISSU. In my opinion, hakuna mwanasiasa yeyote nchini mwenye UWEZO, USHAWISHI & WAFUASI wengi, ndani au nje ya vyama vya siasa kuliko LISSU. Nashauri tuanze kumpa sapoti sasa. Huenda huu ndio wakati SAHIHI kwake & kwetu. Tuombe uzima.
Baba Mwita50,286 次观看 • 2 年前

Mhe. Waziri Mkuu, huu ni MKATABA na ili UBADILIKE ni LAZIMA mabadiliko yafanyike KISHERIA sio maneno matupu! Kauli yako "nataka niwahakikishie." tumeisikia MARA NYINGI MNO na hakuna mabadiliko yamewahi fanyika. Binafsi naomba Mungu alione hili Taifa, wanasiasa MNATUCHOSHA akili.
Baba Mwita19,854 次观看 • 3 年前

Majukumu ya DC yameainishwa kwenye Sheria ya Tawala za Mikoa (The Regional Administration Act, 1997). Hakuna kifungu kinachosema DC atashughulika na mambo ya Kichama. Hiyo ni kazi ya Mwenyekiti wa chama ngazi ya Wilaya na Katibu wake. DC ni nyadhifa ya Kiserikali sio ya Kichama. Kama Raia wanarudisha kadi za chama maana yake wamepoteza imani na Chama & Serikali kwa ujumla, maamuzi ambayo DC hawezi kuwazuia wananchi kuyafanya. Ushauri; ni vyema shughuli za Chama zisihusishwe na zile za Kiserikali. #BabaMwita
Baba Mwita14,114 次观看 • 3 年前
没有更多内容可加载