Leo nilikuwa uwanja wa Afcon wa Arusha oyaa uko mbali kinoma na Jiji. Ila somehow umefikia hatua nzuri sana. Pia wale walinzi wajifunze kuheshimu hata watanzania wenye hali ya chini mpka kuingia hapo ndani mpaka uwahonge kama hauna chochote kitu utaishia getini.🚮
32,729 次观看
Dunia ifunguliwe izaliwe upya yanga Hatuwezi kuchukua Ubingwa na aina ya wachezaji kama Mwanengo. Kvp unakosa Goli hapo na timu inatafuta ushindi 😬