
𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 𝐄𝐍𝐎𝐂𝐊🦁
@BarakaEnock_ • 40,369 subscribers
Have ideas 💡/ Trust the process/ Work on it 🔥/ Stay focused😇/ Success will follow🚀/ .Fan @SimbaSCTanzania & @ManUtd
Shorts
Videos

Wakati Wachezaji 11 uwanjani wanapambania Nembo yetu huku nje alikuwa DUCHU anapambania ushindi akiwa kwenye Benchi. Clip ya kwanza unamuona akipambana na mganga wa wale kenge akaenda kupiga teke kitu kilichowekwa katikati ya uwanja. Clip ya pili wakati Timu nzima inashangilia Goli la kusawazisha la MAEMA yeye hakushangilia alienda kuwafukuza wenzake wasishangilie warudi kati haraka Bado hatujashinda game wakatafute la ushindi kwanza. Mentality yake ilikuwa kwenye points 3 na si vinginevyo.
𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 𝐄𝐍𝐎𝐂𝐊🦁41,858 Aufrufe • vor 5 Tagen

Game na Simba huyu kocha aombe sana Mungu Matokeo ya game yanaweza kutoa hatma yake 😃😃😃😃
𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 𝐄𝐍𝐎𝐂𝐊🦁14,203 Aufrufe • vor 1 Monat

Mbona sisi huwa hatuwapigi mawe pale msimbazi?????? Nyuma mwiko vumilieni
𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 𝐄𝐍𝐎𝐂𝐊🦁27,287 Aufrufe • vor 3 Monaten

Ukiona watu wanafanya projo nyingi kwenye kutambulisha wachezaji wao ujue izo ni mali mbovu 😂😂😂
𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 𝐄𝐍𝐎𝐂𝐊🦁16,258 Aufrufe • vor 2 Monaten

Ni kama Dogo Paten alishajua Mnyama atafanya yake huko kwa Madiba ama? 🤷🏽♂️🇹🇿
𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 𝐄𝐍𝐎𝐂𝐊🦁46,833 Aufrufe • vor 1 Jahr

HELA ZA TOFALI MWEEE🤣🤣🤣 NJIA YA MUONGO NI FUPI SANA Gonga Reposts Iwafikie.
𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 𝐄𝐍𝐎𝐂𝐊🦁32,302 Aufrufe • vor 1 Jahr
Keine weiteren Inhalte verfügbar