
๐น๐ธโ๐ธ๐๐ธ ๐๐๐๐๐๐ฆ
@BarakaEnock_ โข 40,369 subscribers
Have ideas ๐ก/ Trust the process/ Work on it ๐ฅ/ Stay focused๐/ Success will follow๐/ .Fan @SimbaSCTanzania & @ManUtd
Shorts
Videos

Wakati Wachezaji 11 uwanjani wanapambania Nembo yetu huku nje alikuwa DUCHU anapambania ushindi akiwa kwenye Benchi. Clip ya kwanza unamuona akipambana na mganga wa wale kenge akaenda kupiga teke kitu kilichowekwa katikati ya uwanja. Clip ya pili wakati Timu nzima inashangilia Goli la kusawazisha la MAEMA yeye hakushangilia alienda kuwafukuza wenzake wasishangilie warudi kati haraka Bado hatujashinda game wakatafute la ushindi kwanza. Mentality yake ilikuwa kwenye points 3 na si vinginevyo.
๐น๐ธโ๐ธ๐๐ธ ๐๐๐๐๐๐ฆ41,858 views โข 5 days ago

Kama hupendi mpira wa miguu huwezi elewa!!!
๐น๐ธโ๐ธ๐๐ธ ๐๐๐๐๐๐ฆ18,558 views โข 5 months ago

Diara ndiye aliye fanya FAULO
๐น๐ธโ๐ธ๐๐ธ ๐๐๐๐๐๐ฆ20,332 views โข 7 months ago

Turudishe risiti zao muda ndo huu...
๐น๐ธโ๐ธ๐๐ธ ๐๐๐๐๐๐ฆ26,322 views โข 1 year ago

Sio wa kupishana nao karibu hao ๐๐๐ ๐
๐น๐ธโ๐ธ๐๐ธ ๐๐๐๐๐๐ฆ12,765 views โข 1 year ago
No more content to load