𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 𝐄𝐍𝐎𝐂𝐊🦁's banner
𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 𝐄𝐍𝐎𝐂𝐊🦁's profile picture

𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 𝐄𝐍𝐎𝐂𝐊🦁

@BarakaEnock_ • 40,369 subscribers

Have ideas 💡/ Trust the process/ Work on it 🔥/ Stay focused😇/ Success will follow🚀/ .Fan @SimbaSCTanzania & @ManUtd

Shorts

Wakati Wachezaji 11 uwanjani wanapambania Nembo yetu huku nje alikuwa DUCHU anapambania ushindi akiwa kwenye Benchi. Clip ya kwanza unamuona akipambana na mganga wa wale kenge akaenda kupiga teke kitu kilichowekwa katikati ya uwanja. Clip ya pili wakati Timu nzima inashangilia Goli la kusawazisha la MAEMA yeye hakushangilia alienda kuwafukuza wenzake wasishangilie warudi kati haraka Bado hatujashinda game wakatafute la ushindi kwanza. Mentality yake ilikuwa kwenye points 3 na si vinginevyo.

41,858 görüntüleme

Kimbe sio CAMARA tu hata na huyu KIBWENGO aligongwa zaidi ya Camara.

85,216 görüntüleme

Hapa ni REFA KABET au MUAMALA UMESOMA !!😅

72,909 görüntüleme

Nyota wa mpira wa miguu "Michael Olise" nyota ambaye anaichezea timu ya taifa ya Ufaransa, kama kawaida yake kabla ya Mechi (France vs Senegal) alikagua Uwanja (Pitch Inspection) ambapo France waliibuka washindi wa mchezo huo Kwa 3 - 1 (France 3 - 1 Senegal) Hii tabia ya Michael Olise imekuwa ikiwavutia watu wengi sana mtandaoni na mashabiki zake Kwa ujumla. Unafikiri Kuna siku Olise amewahi kusahau kufanya hii tabia yake? Wengi wanasema hufanya hivi ili kujua ni kiatu gani anavaa 🙂

15,979 görüntüleme

DAMARO KAMVUTA mchezaji wa namungo kwenye 18 na haijawa penalti ila hii Mwinyi mkuu kawapa utopolo.

16,382 görüntüleme

Mmeona ulozi wa wazi???!

Mmeona ulozi wa wazi???!

11,158 görüntüleme

HALI ILIVYO UTOPOLONI MUDA HUU 😁😁😁🐸🐸🐸

HALI ILIVYO UTOPOLONI MUDA HUU 😁😁😁🐸🐸🐸

18,678 görüntüleme

Videos

Daha fazla içerik yok.