
𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 𝐄𝐍𝐎𝐂𝐊🦁
@BarakaEnock_ • 40,369 subscribers
Have ideas 💡/ Trust the process/ Work on it 🔥/ Stay focused😇/ Success will follow🚀/ .Fan @SimbaSCTanzania & @ManUtd
Shorts
Videos

Wakati Wachezaji 11 uwanjani wanapambania Nembo yetu huku nje alikuwa DUCHU anapambania ushindi akiwa kwenye Benchi. Clip ya kwanza unamuona akipambana na mganga wa wale kenge akaenda kupiga teke kitu kilichowekwa katikati ya uwanja. Clip ya pili wakati Timu nzima inashangilia Goli la kusawazisha la MAEMA yeye hakushangilia alienda kuwafukuza wenzake wasishangilie warudi kati haraka Bado hatujashinda game wakatafute la ushindi kwanza. Mentality yake ilikuwa kwenye points 3 na si vinginevyo.
𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 𝐄𝐍𝐎𝐂𝐊🦁41,858 次观看 • 5 天前
没有更多内容可加载
