
Bob Chacha Wangwe
@BobWangwe • 35,782 subscribers
🇹🇿Lawyer|Human Rights Activist|Agent of change|Ambivert||
Videos

Lissu hata style yake ya kucheza ni kama anakemea Rushwa
Bob Chacha Wangwe40,958 просмотров • 1 год назад

“Nimekuwa adui yenu kwasababu nawaambia yaliyo ya kweli?”. Hili ni swali kutoka Wagalatia 4:16! Tundu Lissu kwa hulka yake hii sasa anaitwa MROPOKAJI kwasababu ametangaza kugombea Uenyekiti wa Chadema. Wakati alipofanywa kuwa Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni …
Bob Chacha Wangwe32,906 просмотров • 1 год назад

Jana nimepata nafasi ya kuwaeleza wanachama wenzangu wa CHADEMA nia yangu ya kugombea ubunge Jimbo la Tarime Mjini mwaka 2025 Mungu akituwezesha. Hii ni njia nyingine ya kuendeleza mapambano na harakati za kupigania ustawi wa nchi yetu. Ni imani yangu BARAKA zenu ziko na mimi!
Bob Chacha Wangwe35,138 просмотров • 2 лет назад

Msimamo wa M/kiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Mwl. Chacha Heche. Ni wakati wa mabadiliko 🔥🔥
Bob Chacha Wangwe23,615 просмотров • 1 год назад

CHADEMA inamuhitaji sana Tundu Lissu pengine kuliko yeye anavyoihitaji. Pia naamini matamanio ya wengi kwamba Lissu ashinde ni tofauti na matamanio ya familia yake. Huyu ni mpambanaji. Binadamu wa aina yake sio wengi duniani hapa! Anatakiwa kuwa M/kiti hata sasahivi.
Bob Chacha Wangwe17,246 просмотров • 1 год назад