Boniface Chengula's banner
Boniface Chengula's profile picture

Boniface Chengula

@bonichengula • 24,432 subscribers

Popular in iPhone & Samsung product Reseller on Twitter | ☎️0752-992667 | 📍Mwenge ITV | Backup Account @bohny_chengula

Shorts

Aliniambia “bro nimemaliza shule nakaa tu nyumbani na mimi nataka kuuza Simu” nikamuuliza unanini? Akasema mimi biashara naiweza. Nikamuuliza wateja utawapataje? Akaniambia nikipost WhatsApp status viewers wanafika 3000+. Nikamuunganisha na mwanangu Salum, kila alipo niona alishukuru kwa mchango wangu. Na kila tulipo onana nilimwambia kaza dogo. Akaja akaniambia sasahivi amepanga sinza na alikua vizuri kifedha na hata wazazi wake walianza kula matunda yake. Jana akiwa anaelekea Mbagala nyumbani kwa wazazi wake alipata ajali, gari aina ya Crown ilimpush na kumkanyaga. Kifo ni fumbo, pumzika kwa Amani Challah.

61,459 просмотров