
BracuszCadabra
@BracuszCadabra • 2,458 subscribers
Tanzanian🇹🇿Premier League Die hard son• CAFCL&CAFCC Football analytics Transfer|Rumors|Player Details|Technical Eyes| https://t.co/b6JMD1oMsr
Shorts
Videos

🔵Binafsi nimefurahi kuona mzee wetu Jamal Bakhressa kuzungumzia changamoto zilizopo kwenye mashindano yetu Ila ni vyema angelalamika bila kutaja mechi ya Jana kama mfano amemkosea sana Sifun Amon Zipo mechi Azam FC alinyongwa ila ya Jana ni vyema angepewa sifa zake mwamuzi
BracuszCadabra15,337 görüntüleme • 25 gün önce

🚨JUST IN:Kutoka Bandarini CHUMA mbili zilizoingizwa na JAYRUTTY bado zimetulia yard zikisubiri taratibu za ushuru na forodha ili kuingia road Yutong ya mzabuni wa jezi kwa ajili ya Biashara zake na usafiri wa Mnyama Simba SC wa kisasa IRIZAR BUS I6 Muonekano wa asubuhi ya Leo
BracuszCadabra20,259 görüntüleme • 1 ay önce

🟥Simba SC wanaijenga timu Yao vizuri kama nilivyosema Kuna mabadiliko kwenye kumaintain level ya utimamu wa mwili hata baada ya 70 mins Kilichobaki wanapaswa kukiimarisha ni influence na mazingira ya nje ya uwanja Then wa challenge ubingwa NB:TATIZO LILIKUWA KATIBA MPYA
BracuszCadabra10,072 görüntüleme • 5 ay önce
Daha fazla içerik yok.
